Salamaleko,
Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
Habari, wataalam na wenye uzoefu wa jambo hili naombeni muongozo katika jambo langu hili.
Ili kujikwamua na ufukara uliokithiri Nilitaman kufanya biashara ya ufagaji.. Nilionelea nifanye ufagaji...
Habari wakuu Kuna biashara nafanya ambayo mtaji waki ni milioni 45 lakini faida Yake napata laki tano ndani siku 14
Hadi mzingo unakua umeisha.
Je hii nisahihi kuendelea kuifanya kwa faid la ya...
Nimefika nyumbani muda huu namkuta dogo yupo busy kwenye simu yake anatrade kwenye hii kampuni ya mtandaoni
Anadai nimsaidie ku withdraw na Mimi nikamwambia awatafute customer care wamsaidie...
Hivi hawa wanaoongea na simu wakati mteja anasubiri huduma ni wamiliki wa biashara au wanakuwa ni waajiliwa?
Unaenda mahala wewe kama mteja unakuta huyo anayetakiwa kukuhudumia amepachika simu...
Habari za wakati huu wapendwa,
Wana Jukwaa, naomba ufafanuzi. Kuna mtu amekutumia zawadi ya iPhone, laptop, na pesa taslimu $1500. Naomba msaada kwa wale wazoefu, maana mzigo ulitumwa jana usiku...
Habari zenu wakuu?
Kuna hoja hapa naomba kuileta kwenu..
Kama mmejaribu kufatilia, Vijana wengi sana wanathubutu kutoka mikoani na kwenda Dar es salam kutafuta maisha.
Wengi wanaenda kutafuta...
Habari wadau Kuna mtu yoyote qnaejua biashara ya madini ya shaba kutoka zambia na kusqfieisha kwenye nji nyingine je utaratibu wake up upoje mwenye uelewa ndugu zangu nahitaji msaada
Kweli kila mwenye mafanikio ana siri yake.
Wale wa ' niache ajira niingie kwenye biashara' mtayaweza haya
ILe tamaa ya kumuona mbona fulani anauza kuliko mimi" hujui siri ya mafanikio yake...
Habari wakuu poleni na majukumu
Nina wazo la kufungua Biashara ya vinywaji baridi Kwa bei ya Jumla Kwa maeneo ya Tanga.
Nilikua naomba kujua je mtaji wa kiasi gani naweza kuanza nao? (Kima cha...
Dalali wengi katika biashara ya ardhi, nyumba, mashamba, na mazao hutumia udanganyifu na ulaghai ili kuvuta wateja. Wanaahidi mali nzuri na fursa za haraka za utajiri, lakini mara nyingi...
Wakuu,
Uzi huu ni kwa ajili ya kutaja miji midogomidogo ndani ya nchi yetu ambayo ina vibe kubwa kama miji mikubwa na ina fursa za kibiashara lakini haivumi wala kujulikana sana na watu.
Mimi...
Ulikuwa na miaka mingapi pale ulipoweza kutengeneza million yako ya kwanza.??
Binafsi.
I was 22 nilipotengeneza 1m nilikuwa school chuo mwaka wa pili hapo nilikuwa karibu sana na walimu wangu...
Habari!
Wadau ni procedure gani unatakiwa kuzifuata kwa ajili ya kuanzisha kiwanda kidogo tu kwa ajili ya kutengeneza pombe aina ya gini. Kama zile ambazo zipo mtaani kina shujaa na wengine...
Wakuu nimemaliza chuo mwaka huu hata joho bado sijavaaa yaani Sitaki kuwa kama graduates wengine kuendekeza aibu au kuwa na yale mawazo ya watu watanionaje hapana.
Yaani bila kupoteza muda hapa...
Wakati tunasubiri nchi kunyooshwa na Rais na kusubiria ntantalila za CCM
Nawashauri vijana wenzangu na wazee kuwekeza kwenye uwekezaji huu wa mitiki
Ingieni mtafute maarifa ya huu uwekezaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.