Sasa ni rasmi hatifungani hiyo iliyofanikiwa kuvuka lengo la mauzo kwa kufikisha mauzo ya asilimia 210.9 kwa kukusanya sh. Bilioni 63.3, sasa itauzwa kupitia mawakala wa soko la hisa na mitaji.
Good morning wadau,
Happy New Year, Mimi nina wazo la kuuza viungo( spices) Nairobi na nimeshafuatilia soko kuwa ipo vizuri.
Sasa, sijui nianzie wapi kuhusu utaratibu wa kufuata. Sitaki kufanya...
Simu yangu ilileta shida kidogo nikaenda kwa fundi simu kunibadilishia system charge yangu ya Google pixel akanipiga 25,000/= nikasema nianze kumuuliza maswali mengi jamaa hakua na hiyana, kwanza...
Wakuu mpo salama?
Naimani kuwa Kila mfanyabishara ama mtoa huduma anahitaji kuwashawishi wateja wake wanunue bidhaa ama huduma anayoitoa jambo ambalo si rahisi pia kama hutojipanga vyema
Kila...
Wakuu heshima itawala..
Nisiwachoshe maana January hii ngumu sana.
Natafuta mtaalamu anaejua machimbo/magodaoni yenye nguo kali za mtumba ( Mabalo kutoka Uturuki au Dubai) na mwenye utaalamu wa...
TUNAJENGA UCHUMI JUMUISHI
Taifa letu linalenga kujenga uchumi jumuishi unaokua kwa kasi na unaoimarisha ustawi wa watu kwa kuboresha huduma za jamii na kupunguza umaskini wa kipato kwa mtu...
TANZANIA NA KOREA ZAJADILIANA NJIA BORA YA KUENDELEZA MADINI MKAKATI
▪️Waziri Mavunde asisitiza ushirikiano kwenye utafiti wa madini na uongezaji wa thamani madink
▪️Korea yaonesha utayari...
Naomba Kupata Experience Ninatakiwa Kuwa na Shilingi Ngapi Kuuanzisha Biashara ya Simu Used From another Country?
Faida Yake Ipoje?
Na Changamoto Zake?
Ahsante Sana!
Ni kijana tu yupo kwenye 30s flani za ukingoni imeenda sana ni 40, kwa jinsi alivyo kimuonekano, gari anazotembelea, mavazi, n.k. waweza kumchukulia poa sana ila ni supplier mikoani + exports nje...
Karibu katika ujenzi wa vyoo visivyojaa! Kama umependezwa na hii huduma, au unauhitaji na hii huduma tafadhali tutafte kupitia +255689753787!
FAIDA YA HIZI SHIMO
1. Kama utajenga kwa kufata...
Habari za majukumu wanajamvi
Naomba kwa mwenye kujua wanapouza viatu vya mpira kwa bei ya jumla k.koo anisaidie mawasiliano yao.mimi napatikana mwanza.
Kutakuwa na safari ya kibiashara kwa wajasiriamali wenye mitaji kidogo nchini China mji wa YI WU mwezi wa tatu mwaka huu wa 2024 tarehe kumi hivi
Safari itakuwa ya pamoja kwa watu wasiopungua 10...
Habari wakuu,
Hapa juzi elimu kuhusu crypto currency imekuwa inatrend Hadi bungeni huko, wabunge wameanza kuwa wanazungumzia hili swala, yule mbunge kafika mahali kabisa kasema serikali ingenunua...
Hardware ni biashara ya kuuza vifaa vya ujenzi na vya kielectroniki.
Kiukweli biashara ya hardware ni nzuri na inalipa endapo ukiwa unajuhudi.
Hata ukiwa na 5mil unaweza kuanza na hardware...
Hapa dukani kwetu tuna binti mmoja ambaye mwaka jana alipata ujauzito. Ulipofika muda wa kujifungua tulimpa likizo ya miezi 3 ambapo pia tuliendelea kumlipa. Mwezi huu wa kwanza tarehe 1 alirudi...
INTRODUCTION.
Mr. Liverpool kwa maisha ni mfanyakazi, mfanyabiashara na mmiliki wa vipande kwenye mutual fund..
Nasoma(ga) sanaa watu humu wanasifia FOREX, Mutual Funds (hasa UTT), Government...
Kuna mtindo wameanzisha halotel wa kuiba data hata kama umezima data.
Kwa Sasa ukiweka hata bundle la 1000 baada ya sekunde unakuta zimeisha na hapo hujadownload chochote.
Huu ni wizi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.