Nimekuwa nikitumia kununua bidhaa na huduma online kwa card za CRDB, Vodacom na sasa nimetumie ya Airtel.
Kwa nionavyo mimi hakika Airtel wameifanya vyema huduma yao na namna unavyoona makato at...
Kuna mdogo wangu amemaliza high school ameniomba nimu nunulie gari ya kufanya bolt hapa dar es salaam ili aweze kukusanya pesa ya kujilipia ada chuoni ambae kwa jumla anahitajika 8m kwa kila...
Habari WanaJF,
Natumaini tumeanza siku vizuri. Hata kama kuna mambo hayaendi, shukuru hata kwa uhai. Mungu yupo atakupambania...
Bila kupoteza muda, ningependa kuwashirikisha wazo, na naomba...
Wataalam wa business naombeni ushauri wenu kwa hapa Dar es Salaam ni biashara gani nzuri ya uzalishaji naweza ifanya yani niwe mzalishaji bidhaa sio kuchuuza.
Niliwaza kutenengeza pedi lakini...
Katika dunia ya sasa, social media imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku, na kwa wale wanaojua kuitumia vizuri, ni chanzo kizuri cha kipato. Hapa nitakuelezea njia rahisi na za uhakika za...
Habari wana jamii naomba wenye uelewa kuhusu hisa za bank ya CRDB tujuzane, mtu anakuaje mwana hisa, hisa moja ni tsh ngapi, na faida zake zikoje mfano ukiwa na hisa kumi unafaidikaje baadae
Habarini ndugu,
Hivi karibuni nimekua na uhitaji wa kufungua duka la simu na vifaa vyake ndani ya jiji la Dar lakini imekua changamoto kwangu kujua sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo target market...
Habari wakuu.
iKiwa juma tatu tulivu na yenye majonzi kwa ndugu zetu watanzania waliopata maafa ya kuangukiwa na kifusi, Mungu azidi kutia wepesi katika ukozi wa ndugu zetu waliopo chini ya...
Kwanza niwapongeze kwa kufanikiwa kweny manunuzi ya mtandao wa tigo na mkaubadilisha jina kuwa" YAS"
Mahali mnapofeli kwa sasa
1. Mmebweteka saana, kweny promotion mkiendelea kutegemea promo za...
Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment...
Habari wapendwa,
Kwa majina naitwa EMMANUEL NESTORY SAGINI, ni mzaliwa wa songea manispaa pia ni muhitimu wa elimu ya ufundi stadi katika fani ya umeme wa majumba na viwanda, ngazi ya tatu ya...
Wakuu
Nina milioni 8 hapa nimejichanga kwenye kazi za kuajiriwa,Mimi ni fundi umeme
Sasa nataka nijiajiri mwenyewe mwenyewe nimefikia makubaliano kwenye biashara hizi mbili niendeshe maisha...
Ubinafsi wa wabantu umekita mizizi mpaka kwenye familia, Baba kapambana kuwa na biashara iliyofanikiwa lakini hashirikishi watoto, akifariki familia haijui lolote kuhusu biashara, umasikini...
Personally nimefaidika na madini mengi humu JF kwa ajili ya maswala mbali mbali, sio vibaya na mimi kushare info na wana jamii wafaidike pia.
Nimekulia katika familia yenye b'ness ya hardware...
Mimi binafsi shida yangu ni Mtaji tu.
Nawasilisha opinion zangu kwako mwekezaji katika pombe kali, sasa hapa hutakiwi kushindana na smart gin maana yeye alitengeneza formula zake na akaliona soko...
Hi wote,
Mimi ni mdada nina umri wa miaka 34.
Tatizo langu kubwa ni kustuck. Yaani kila ninachowaza kufanya kujikomboa kiuchumi sifiki popote. Ninawaza mno ila nimestuck.
Hapa ni saa 9 usiku...
Kama unataka kufanya ziara ya kuangalia fursa za kibiashara, hasa kuangalia bidhaa za kuzileta nchini, ni nchi ipi inaweza ikawa sahihi zaidi kuitembelea? Muda wa ziara ni wiki mbili!
Nchi ipi...
Habarini Wakuu.
Naomba kujuzwa uchanganuzi mzima wa kuanzisha kiwanda kidogo cha mifuko hii ya 'twende sokoni ' au kwa jina jingine maarufu mifuko ya 'connection'
Faida yake ,mashine...
Wakuu za Usiku huu
Leo katika Harakati za Kilimo wakati Jembe la Trekta linapita kuna sehemu likakutana na Jiwe gumu sanaa na kuna alama ya zege la kutisha baada ya Kuuliza wazee wakaniambia Hapa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.