Ugomvi kati ya wateja na wauzaji wa simu, hasa hizi used za Dubai au refurbished, ni jambo linalotokea mara nyingi. Mara nyingi, chanzo kikuu ni pale simu inapoharibika, na mteja anataka...
Nina mwaka tangu niajiriwe Serikalini lakini ukweli sioni future yoyote kwenye hii kazi niliyoajiriwa, naona kabisa naenda kuzika ndoto zangu na kubaki kuishi Kwa kutegemea mshahara.
Kabla...
Habari za wakti huu;
Ni matumaini yangu kwamb mnaendelea salama na Shughuli zenu za upambanaji na utafutaji wa Riziki;
Leo nimeona nilete mada ambayo kwa wajasiriamali wengine inaweza kuwa na...
Do you want to start any of the following 70 businesses?
• Precast Concrete Products (Cabro) Making
• Maize Milling
• 15 Unique & Untapped Ideas
• Quarry
• Motorcycle Spare Parts Retail
•...
This guide looks at the edible oil markeT, with a focus on a Peanut Oil business.
Is there an opportunity?
How do you seize the opportunity?
What are the technical and financial details...
WAkuu hivi naomba kuuliza kama una milioni 30 inatosha kuchukua mzigo china ila pesa hiyo hiyo ndio yakufanyia clearance bandarini na kupakia mzigo kutoka china kuleta hapa na kama inatosha ni...
Biashara ya nguo ni moja ya njia maarufu na rahisi ya kuanza kufanya biashara online. Katika makala hii, tutachambua jinsi unavyoweza kuanza kuuza nguo mtandaoni kwa kutumia mbinu rahisi na ambazo...
Fundi ujenzi mwenye maarifa ya kazi yake anaweza kufikia wateja wengi zaidi kwa kutumia mitandao ya kijamii na mbinu nyingine za kidigitali. Katika makala hii, tutajadili hatua rahisi ambazo fundi...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
1 kwa 1 kwenye mada yangu kama vile kichwa kinavyosema.
Najua una HAMU ya kujua wabongo wengi hufanya kosa gani ktk biashara huko ONLINE.
Binafsi, nmepita katika...
unaweza kutumia mtandao kupata wateja wapya na kukuza biashara yako. Hapa kuna njia rahisi za kufanya hivyo:
1. Tengeneza Profaili ya Kuvutia Kwenye Mitandao ya Kijamii
Mitandao kama Facebook...
Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi
KWA HUDUMA YA
HESABU ZA KODI (FINANCIAL REPORT)
RITANI ZA TRA (TRA RETURN) RITANI ZA VAT (VAT RETURN) SDL, PAYE, WCF
KWA HUDUMA YA
MAKADIRIO YA KODI...
Nauza Biashara Yangu ya Vipuri vya Pikipiki na Matairi
Kwa sababu za kibinafsi, nimeamua kuuza biashara yangu ambayo imenishinda. Hii ni fursa nzuri kwa mtu mwenye nia ya kuwekeza kwenye biashara...
Ni tufanye hawa wote hawana akili kuwekeza hapa. Je, unashindwa kujiuliza kwanini watoe pesa huko duniani $3.51 Trillion kwa kuwekeza sehemu ambapo hapaeleweki??🤔
Ndugu yangu nikupe siri kila...
Baadhi ya mahitaji ya wadau:
Naombeni kupewa orodha ya maduka ya suti za kiume (za kisasa) yaliyopo Kariakoo. Nahitaji kuyazungukia. Kwasababu ya muda siwezi ku-design kwa fundi ndo maana nataka...
Wakuu habari nahitaji msaada wa kujua gharama za kusafirisha mzigo kutoka mbeya kuja arusha (tani 14) na kahama kuja arusha(tani 10). Bidhaa ni mchele
Kwa anaejua gharama naomba msaada
Kuna soundbars aina ya SKYWOOD, 470 Watts naiona katika matangazo katika social media tofaut tofauti
Mwenye uzoefu na aina hii ya mziki alete uzoefu wake
Binafsi napenza mziki mnene uliochujwa...
Habari wadau, moja kwa moja kwenye mada.
Ni biashara gani ama huduma ipi unaweza kufanya ambayo haina BEI ELEKEZI, yani bei unajipangia wewe mwenyewe?
Mfano wa biashara za bei elekezi nin kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.