Content creators au watengenza maudhui katika mitandao ya kijamii huingiza pesa katika namna mbili.
Namna ya kwanza ni ile ya kulipwa na platform husika (mf. X.com, tiktok au YouTube)
Namna ya...
Habari yako
Mimi ni kijana ambae nilitumia mtaji wa Tsh 25,000 na sasa naingiza laki 4 Hadi laki 7 kila Mwezi.
Mwaka Jana 2021 mwezi wa 3 nilitumia mtaji huo kununua domain name kisha...
Habari
Siku zilizopita nilipost Uzi kuhusu Mtaji wa 25,000 Unavyonipatia laki 4 kila mwezi>>
Watu wengi walitaka kujua jinsi ya kupata Watembeleaji wengi kwenye Blog.
Binafsi natumia njiaa kuu...
Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments...
Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa.
Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari...
Nahitaji Unga wa Uwanga
(arrow roots powder)
Habari zenu, naomba mtu anayejua sehem naweza kupata Unga wa Uwanga(arrow root powder), nahitaji mwingi hata kama tone 5 unazo au unajua zilizo...
Hivi Oil based perfume zinaagizwa kutoka nchi gani hasa? Namaanisha kwa bei ya jumla hasahasa zile pure.
Kama kuna mtu anamjua seller au mahali ambako wabongo huwa wanaagiza perfume za kupima...
Habari,
Lengo sio kujitamba Bali ni kupeana chachu ya kuendelea kupambana. Leo nimefikisha 50ml lengo langu mwaka huu ni 65ml kutokana na saving zangu.
Sihitaji high return business bora nipate...
Hello JF,
Moja kwa moja kwenye bandiko
Mimi ni mmoja wa wamiliki wa Duka la Jumla kiukweli hi biashara inalipa sana hasa inalipa faida ya milion 1.5 kwa mwezi kabla ya kutoa malipo ya...
Ni wajinga ndio wanaweza shangilia huu ujinga, haiwezekani kijengwe the so called kituo cha biashara na asilimia 100 ya products hapo ni kutoka nje na tunaona ni sawa kabisa tena tunashangilia na...
Mimi ni ticha wa private hapa town nimeamua kujiongeza na hiyo kitu fundi mwenyewe, ila kua ankali nipo nae,
Naomba ushauri nini kiongezeke, licha ya nilivyonayo, kuna TV nch 23, king'amuzi cha...
Habari za leo wadau wote wa Jamii Forum
Duka letu maarufu kwa biashara ya vitenge lililoko soko kuu kasulu mjini, kigoma, Tanzania Tuna furaha kuwatangazia kuwa tunazo aina zote za vitenge...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza,mimi kijana mwenzenu nimelenga kujilipua kwa kuagiza mzigo kutoka china kwa mara ya kwanza,hivyo basi naomba munielekeze namna ya kufanya malipo.
natanguliza...
Nimeanza kufanya biashara mtandaoni (online business) tangu mwaka 2021 na hii ni njia bora ya kujiongezea kipato bila ya kuwa na mtaji mkubwa wa pesa. Nitakueleza hatua kwa hatua jinsi unavyoweza...
Habari wanajamii forum ,mimi ni mdau wa muda mrefu sana ndani ya forum hii lakini nikiwa kama msomaji tu, kupitia forum hii nimejifunza mambo mengi, nimecheka na kufurahi, pamoja na kuelimika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.