Kumiliki nyumba au ardhi haviwezi kukupa utajiri mkubwa, fuatana nami ujifunze experience yangu ya umiliki wa hizi mali
Mimi Mr Why nataka nishare experience yangu ya umiliki wa nyumba na ardhi...
Uandaaji wa Mpango Mkakati yaani “Strategic Planning” unahusisha ukusanyaji na ufanyaji wa tathmini wa taarifa juu ya mazingira ya nje yanayoizunguka kampuni yaani “external environment”...
Forum nzuri hiii.
Nauliza, mfano nataka nifungue kiwanda cha maji, yaani kufunga mashine mpya, madumu ya maji etc, bora ni ninunue mashine wapi? Mpya za China au used za ulaya?
Je, kuna websites...
Naitwa Jacob Mwansasu ni mmiliki wa partneship iitwayo swebetech it solution tunakuletea product hii kwa ajili ya private school kusaidia uendeshaji wa kidigitali.
Karibuni 0759617533 kwa...
Habari nduguzangu.
Kuna hii mifuko inayotumika kubebea mahitaji mbalimbali ya nyumbani, ambayo rejareja huuzwa 200, 300 na 500.
Bei ya jumla inauzwaje?
Na je inakaa mingapi?
Inapatikana wapi kwa...
Habari za asubuhi wanajukwaa. Nahitaji kumwanzishia biashara ya vitafunwa mdogo wangu ili kumwepusha na vijiwe vya kijinga huku akisubiria tokeo la form 4... Moja ya mahitaji ya hii biashara ni...
Kama ilivyo kariakoo wafanya biashara wengi wanafanya biashara ya B2B yaani Busness to bussness ( mtu ununua bidhaa na kuiuza hio bidhaa iliapate faida/profit.
Wa China na watu wenye viwanda wao...
Nina kiasi cha shilingi milioni 3. Nataka nifungue sehem ya chips , kuku, mishkaki samaki juice na vinywaji sio vilevi.
Naombeni ushauri kuhusu mtaji huo unatosha? Na vipi Faida na changamoto zake
Mfanya biashara wa Arusha Je, biashara yako inakutana na changamoto katika kudeal na mambo ya TRA, usimamizi wa fedha, uhasibu, au masuala ya kodi?
Tunatoa huduma za ushauri wa kitaalamu...
Karibu DYNAMIC AIR AND SEA CARGO LTD Kampuni iliyosajiliwa kwa kutoa huduma ya usafirishaji na uagizaji wa Bidhaa Kwa wateja, tupo big bon mkabala na msimbazi B mtaa wa mkunguni na Congo...
Wanajamvi, habari za muda huu na poleni na mihangaiko ya kutwa nzima.
Korosho ni zao linalolimwa zaidi mikoa ya Lindi na Mtwara na sasa ni kipindi rasmi cha msimu wa korosho.
Nahitaji Tajiri...
Hello Guys!
Naombeni Mwenye kujua jinsi navyoweza kupata Contact za Viwanda na Makampuni yote ya uwekezaji Nchini!.
NINACHO KITAKA NI
1. LOCATIONS ZAO.
2. CONTACT EMAIL ZAO.
3. AINA YA KIWANDA...
Inakuwaje, watu wangu? Natumai mko poa! Binafsi niko fresh.
Naomba kuuliza hivi, biashara ya movie library kwa Mpanda Mjini ikoje? Naamini kuna wadau wa Mpanda humu, na wengine waliowahi kuishi...
Inakuwaje au unajisikiaje unapolipia tangazo alafu watu wanabofya bofya tu ila hawana nia ya kununua bidhaa zako mtu anaulizia singsung s23 shingapi unampa bei anapotea hata kurudiaha jibu hapana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.