Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Wakuu nipo hapa jukwaani nahitaji kujua TAJIRI ni mtu mwenye PESA au MALI kiasi gani?
Maana kumekuwa na maana tofautitofauti ambazo hutumiwa na watu kulingana na mtazamo...
Wakuu habari zenu
Ningependa kujua ama kufahamu kwa mwenye uelewa kuhusu jinsi makampuni ya simu yanavyolipa pale wanapokuwa wamekodi/wameweka mnara wao kwenye eneo lako.
eneo ni dsm: juu ya...
Tigo sasa ni Yas na Tigo Pesa ni Mixx by Yas. Hakutakuwa na mabadiliko yeyote kwenye huduma au bidhaa zetu .
Ujumbe wa Tigo kwa sasa ni Yas , ki branding kwinini isiwe Yas pesa?
Wakuu habari, iv hawa nmb nikiraka kuwafanyia umafia na kunilipa usumbufu nawafanyaje?
Ni hivi, nilikuwa nadsiwa mkopo ambao ulikuwa unaisha mwezi wa kumi na moja, maana si huwa wanakata kwenye...
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽
Hivi kwann familia zetu nyingi za kitanzania zinaanza upya katika utafutaji wa mali, kutoka kizazi kimoja hadi kingine ktk utafutaji?
Hii kitu imekua ikiturudisha nyuma...
Kuna jamaa aliniuliza kuna changamoto gani au kero zinakumbananazo car wash za hapa bongo kwa maana yeye alitaka siku moja aanzishe automated car wash kama hio hapo chini...
Habari wana Jamii forums? Naomba kujua zaidi kuhusu biashara ambayo naweza kuanza kwa mtaji mdogo na ikakua na kufungua fursa zingine za kibiashara. Binafsi nimekuwa nikiwaza sana kuhusu...
Nauza TV stand set ambayo ina coffee table yake, ila cofee table yake imevunjika kioo cha juu tu, ni kukibadili tuu, kwahivyo nauza kwa bei nafuu, nitafte kama uko interested :
0684101707
Niko...
Jamani hii nilishaipost narudia tena sasahivi kwa kuweka gharama yake maana naona watu wengi walikuwa wanaongelea pesa ambazo sijaziandika,
HIYO SET KWENYE PICHA NI STAND YA TV INA NA COFFEE TABLE...
,,, TUNAPATIKANA MKUYUNI KARIBU NA STENDI YA DALALA
,,,,,, KWA MAWASILIANO ZAIDI
O699494330 (Whatsapp & normal call)
Karibu MACK_E OUTFITS tunauza t shirt kali size zote ni unisex anavaa mwanaume...
Hello wakuu,
Naomba kwa aliyehudhuria mkutano wa wawekezaji UTT aniambie faida za mifuko mwaka Huu ilikua asilimia ngapi Kwa:
Liquid fund
Bond fund
Wekeza Maisha
Jikimu Na
Watoto fund
Ndugu zangu siku za karibuni mliifahamu kama kampuni ya TIGO sasa imekuwa YAS una lipi la kusema juu ya mabadiliko haya
Hii imekaaje tangu ilipobadilishwa na kuitwa YAS huku huduma ya fedha...
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS.
Katika harakati za...
Wapendwa wote habari za mwaka mpya 2025 !! Jamani kama kichwa cha habari nlivo kiweka hapo juu, naomba anaye weza kunipa ufafanuzi juu ya mifuko ya Utt na faida za uwekezaji katika sekta hiyo...
BIASHARA CHINA INATENGEZA MATAJIRI WENGI, Tena vijana na wewe unaweza kuwa mmoja wao.
.
lakini pia unaweza kupoteza mtaji wako wote ikiwa kuna mambo hutoyafaham mapema.
.
Sasa kabla hujaenda...
Daaah walio toboa kwenye huo mkoa hongereni. Daah mikoa mingine utasema upo KENYA siyo Tanzania.
Licha ya ugumu wa pesa hali ya hewa pia haikunifurahisha upepo mkali, maji chumvi daah, jua kali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.