Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nawezaje ku trade soko la hisa la USA mikiwa TZ? Nawezaje kununua big stocks kama AAPL, TSLA etc Sio Forex bali Stock MARKET kama kuna broker naweza mtumia hapa TZ
0 Reactions
3 Replies
221 Views
Naomba kujuzwa wanapouza chaja za simu kwa bei ya jumla,kwa ajili ya biashara yangu. Nisaidieni kunijuzwa chimbo wanalouza charger za simu. Shukrani
1 Reactions
4 Replies
396 Views
Habari zenu wana JF? Matumaini yangu hamjambo Kabisa. Mimi naomba ushauri wenu. Nina mtaji wa millioni moja. Nipo Dar es Salaam. Ni biashara gani inafaa kwa mtaji huo. Kichwani, nilikuwa nawaza...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Hata bei ya mtungi wa kuvaa mgongoni pia naomba bei zake
1 Reactions
4 Replies
163 Views
Salamu Waungwana wa Ukumbi huu adhimu. Kuna visenti nimevipata mahali natafuta namna ya kuviongeza. Ninafikiria kufanya biashara ya Asali kwa kuanzia niende Tabora na kununua japo dumu mbili za...
2 Reactions
23 Replies
13K Views
Nawasalimu wakubwa kwa wadogo ktk jukwaa hili, Kuna kipindi nilileta uzi kuuliza mazingira ya Tabora yalivyo kwani mke wangu alipangiwa kazi mkoa huo,mwaka jana mwezi wa 12 nilienda kumtembelea...
45 Reactions
95 Replies
27K Views
Rehema na amani ya Mungu iwe juu yenu nyote wana JF. Naomba kujuzwa juu ya hii club tajwa hapo juu nikweli naweza wekeza fedha zangu nikapata faida au nimatapeli. Maana wanasema ni online...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Nikiri kuwa nimekuwa mpenzi wa BM Coach kwa muda mrefu sasa ila hili la safari hii limeanza kunichefua. Alhamisi ya tarehe 07/09/2023 nilisafiri na basi la 1.30 asubuhi. Mshangao wa kwanza ni...
12 Reactions
21 Replies
2K Views
Nafikiria kufungua duka la kuuza vifaa vya ujenzi, nalenga vitu 3: cement, nondo, na mabati. Hii biashara nafikiria kuifungua hapahapa Dar. Wazoefu nipeni ushauri natakiwa kuzingatia vitu gani?
2 Reactions
14 Replies
9K Views
Maisha ni HAD Hapa kuna maana kubwa sana. "Maisha ni HADIDHI tu" Kila mtu anapokuja kwenye uso wa Dunia anakuja kitabu chake kikiwa kitupu yaani (empty) Mimi, Wewe na Yule tunaanza safari na...
2 Reactions
0 Replies
212 Views
Good Morning 🌞 for Everyone. 2025 Jipange upya njia uliyoitumia kuyaendea mafanikio na plan zako mwaka 2024 usikubali kurejea nayo kwani adui wamekutegea mikwamo mingi sana pengine mwaka 2025...
3 Reactions
10 Replies
371 Views
Habari wakuu, mimi mpaka Sasa nafanya biashara ya dagaa japo msoto bado mkali ila maisha yanaenda kibishi.
10 Reactions
74 Replies
3K Views
Habari wakuu mnaionaje hizi baishara ni za kuendelea kufanya kweli tandam ya gari ya sukari inabeba mifuko 600 ya sukari unaiuza kwa miezi 2 na faida yake ni 540,000 wakati huo gharama za manunuzi...
20 Reactions
153 Replies
11K Views
Habari, Nchi ya uturuki imekuwa miongoni mwa nchi ambazo Watanzania wengi wamejivunia utajiri kutokana na kuagiza bidhaa mbalimbali kupeleka Tanzania. Katika kipindi cha miaka ya Karibuni...
2 Reactions
9 Replies
2K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, naulizia kwa wale wazoefu au anayefahamu site nzuri ya kununulia bidhaa za uturuki, kama ilivyo Alibaba, Amazon na eBay. Natanguliza shukrani
5 Reactions
70 Replies
11K Views
Khabari za mida hii waungwana!! Kwa mliooa Naomba nisaidiwe Barua ya posa inaandikwa vp na inapelekwa na nani?? Na maanisha nani anaebidi aandike? Mshenga au ww?? Wakati wakupeleka posa mhusika...
2 Reactions
3 Replies
540 Views
Chukulia unafanya biashara ambayo sio muda wote unakuwepo hapo wewe mwenyewe ila umeajili watu wengine ndio wapo hapo muda wote kuhudumia wateja. Unafanyaje ili staff uliowaajili kusimamia...
8 Reactions
13 Replies
800 Views
Kueleza umuhimu wa kuonesha heshima kwenye mazungumzo kuhusu utalii wa ndani ni jambo la maana. Ni kweli kuwa utalii wa ndani ni sehemu muhimu ya maisha yetu na ni suala la hiari kwa kila mtu...
1 Reactions
1 Replies
167 Views
Naiomba TRA ishughulikie hili, hivi ni kwanini mashine za ATM mfano NMB, CRDB n.k hazitoi risiti pasipo kuuliza? Ilihali akifanya hivyo mfanya biashara kariakoo anakamatwa . Kwanini risiti za ATM...
10 Reactions
41 Replies
886 Views
Habari zenu ndugu zangu, Mimi ni mgeni kabisa katika ishu za Taxmtandao, hususan BOLT, Nataka kutumia chombo changu bajaj kujipatia riziki, na tayari nina akaunti, lakini sasa nasikia kuna hali ya...
0 Reactions
10 Replies
442 Views
Back
Top Bottom