Je ni sahihi kondakta wa daladala kupiga kelele za kuita abiria? Au abiria hawajui wanakokwenda? Je abiria wanakuwa hawaoni usafiri?
Hii tabia ya kondata kuita abiria na kutangaza vituo daladala...
Habari za wakati huu ndugu zangu humu !!
Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao...
Wengi Tumekuwa Tukipambana Maishani Tukifikiria Kuwa Biashara Au Ajira Ndo Vinaweza Kututoa Maishani Mwetu Huku Tukisahau Au Kudharau Baadhi Ya Fursa Zilizopo Mbele Yetu
Nikuombe Kijana...
Linapokuja suala la umiliki wa pesa basi tunazungumzia hisia ziletwazo na pesa ambavyo kwa namna yoyote unatakiwa hisia hizo zisikushinde bali uzitawale.Wengi hatutafuti pesa kama zilivyo...
HALMASHAURI YA WILAYA YA MUSOMA YATOA MIKOPO YA THAMANI YA SHILINGI MILIONI MIA NNE (Tsh 400m)
Jana, Ijumaa, tarehe 3 Jan 2025, Halmashauri ya Wilaya ya Musoma (Musoma DC) ilitoa mikopo isiyokuwa...
Habari zenu wakuu,
Nina rafiki yangu yupo Uturuki (Turkey) anapenda tufanye biashara, either kuchukua bidhaa kutoka Uturuki kuja Tanzania au kutoka Tanzania kwenda Uturuki. Naombeni mawazo yenu...
Wataalam wa aina hiyo wanapatikana Tanzania? Nafahamu kuwa Tanzania kuna watu waliosomea masuala ya FINANCIAL PLANNING, lakini sikumbuki kama nimeshawasikia Watanzania wakishuhudia jinsi ushauri...
Kwa umri wangu huu mdogo nimepata fursa ya kutembelea baadhi ya nchi hapa Afrika,ktk fursa hii nimebahatika kwenda nchi ya Morocco.
Nilienda Morocco kupitia Mali kwa Tombouctou Airport ya Mali to...
Nchi ya Thailand ni kama unavyoona china imepiga hatua kubwa kwa viwanda na leo nitawaonyesha fursa ili kusaidiana hasa kwa wale wajasiriamali.
Kwanza kabisa wana hotel nyingi na nzuri na kwa...
Miaka mitano iliopita nilifungua website ya kuagiza bidhaa mbalimbali kwanjia ya mtandao bahatimbaya sikupata wateja wakutosha nilikutana na changamoto nyingi sana
1. Watu wengi niwaoga kutapeliwa...
Wakubwa nina mtaji wa shilingi milioni mbili na nataka nifanye biashara.
Je, biashara gani ninaweza kufanya kulingana na pesa hiyo?
Nimetafakari sana ila nakosa kujua kwa usahihi biashara gani...
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za...
Habari, Kuna bidhaa nataka kuagiza (mini projector 📽️) kutoka Amazon.
pakuanzia kuhusu Amazon najua ila swali langu ni:-
Je, nikiagiza bidhaa Amazon, nitatakiwa kuichukulia wapi(destination)...
Naitwa Gebiherd Gebe Millinga, Mzaliwa wa Mkoa wa Ruvuma
Wilaya ya Nyasa kijiji Lituhi. Ni MTANZANIA Fani yangu ni Fundi Magali. Garage yangu ipo Tabata Segerea Dar-es-Salaam. Makazi yangu ni...
Ndugu zangu naomba yeyote mwenye uzoefu na bidhaa za stationary kutoka China anijuze, nina millioni kumi, na kuna mtu kaniambia naweza fanya hiyo biashara na nikapata faida kubwa zaidi.Nimeshapata...
Je, inawezekana kuanzisha na kuendesha biashara ya maudhui mtandaoni kama blogging au YouTube kama kina Millard Ayo, bila ada za awali (license fee) ? Kama vile mambo ya lecense za TCRA sijui...
Habari za mchana wakuu, natumai hamjambo kabisa na mnaendelea katika harakati za kusaka mkate na kwa wale wanaugua Mungu awaponye kwa uwezo wake tuseme Amin !!
Kwanza kabisa mimi ni mtu ambaye...
Usipoteze mtaji wako, ukuze kwanza, Milioni 10 Haitoshi kabisa kuja China na kutengeneza faida kwenye biashara yako.
Hapa ni makadirio ya gharama kama unakuja china.
Ata uwe na connection...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.