Habari za wakati huu;
Mkoa wa Tabora ni mooa ulioko Karibi na Eneo la Magharibi mwa Tanzania.Ni mmoja katika ya Mikoa ya mwanzoni kabisa kukua.Ni mkoa wenye idadi kubwa sana ya watu ukiwa mkoa wa...
Wadau karibuni tutumie fursa za biashara hapa mjini MASERU bidhaa za; Vitenge, Batik, mashuka ya kimasai na mfereji maringo maana kina dada toka Ethiopia, Arusha, kigali wamejaa hapa wanapiga...
Imagine nmehitimu chuo, nikakosa kazi si kwa kupenda, sababu kubwa ni kutokua na uwezo wa kusafiri kwa ajiri ya interview hasa ktk mikoa ya mbali
Nmejichanga na kupata kihekali kimoja na kufanya...
Wakuu habari?
Kuna watu nilikuwa nachat nao wako huko nje, wakawa wananishawishi niingie kwenye hii biashara; wao watakuwa wanachezesha akaunti, na baada ya kama siku saba kuna gawio la faida...
Kuna mtu kanishirikisha Hii ishu ya kuitwa Royal Q , kwa maelezo yake kaniambia Royal Q ni Trading Robot ambalo linatrade sarafu za kidigitali cryptocurrencies ,
Kinachofanyika mtaji unaweka...
Ifuatayo ni Orodha ya masoko ya Mitaji/Financial markets ambapo unaweza ukafanya uwekezaji
1. HATI FUNGANI
Ni soko ambapo muwekezaji anakopesha fedha kwa kipindi cha mda flani huku akipatiwa...
Happy New Year,
Mods tafadhari musidelete post yangu.
Tarahe 24 Dec 2024 nilikuwa nalipia Netflix Subscription kwa kutumia Mastercard ya MIXX BY YAS lakini kwa bahati mbaya ikawa rejected...
Habarini za leo wanajamii,
Leo nimeona kidogo nitumie fani yangu ya ushauri wa maswala ya biashara na uchumi kuweka mambo muhimu katika uendeshaji wa biashara kwa nchi yetu pendwa ya Tanzania...
Bodi ya Wakurugenzi ni chombo nadi ya kampuni au shirika chenye lengo la kusimamia maslahi ya wanahisa/wanachama kwa kuhakikisha kwamba kampuni au shirika linaendeshwa kwa kufuata misingi na...
Vijana wengi tumekuwa wavivu na waoga hasa linapokuja suala lautafutaji watu wengi wanaamini kufanikiwa kupitia njia za ndugu zao au walizotumia jamaa zao
Kuna kitu nataka nikushauri kijana...
Kuna uzi niliweka humu jamiiforums Nilimruhusu msaidizi auze bidhaa zake ndogo ila zinamlipa kuzidi mshahara wake. Je, nifanye maamuzi gani?
Summary / Muhtasari:
Msaidizi aliniomba aanze kuuza...
Habarini wakuu,
Kwa wakazi wa jiji la DSM nadhani mtakuwa mnaelewa kuhusu ‘si-so’ or see saw. Sasa, nina wazo la kuanzisha plant ambayo inaweza ku-recycle products za chupa/glass, kama mnavyojua...
Mchanganuo wa biashara ya supu ya pweza
Pweza ni mazao ya bahari ya Hindi. Samaki wa aina tofauti, pweza, ngisi, dagaa kamba na kadhalika ni baadhi ya vinavyopendwa na wakazi wengi.
Biashara...
Habari mazee ,kitambo sijapost business ideas.
Leo nimekuja na wazo moja hivi naona linakuja linakata nikasema niforce kingi nilitoe hivyo hivyo tu, miezi kadha nyuma nilipata hamasa ya kutaka...
WAZIRI MAVUNDE ASIMAMISHA UCHIMBAJI MADINI KWENYE MTO ZILA KIJIJI CHA IFUMBO, WILAYANI CHUNYA-MBEYA
▪️Aelekeza shughuli za uchimbaji madini kusimama kipindi hichi cha Masika kama ilivyoelekezwa...
Kuanza biashara na mtaji wa TSH 200,000/= katika mji kama Dar es Salaam inawezekana kwa kuchagua biashara ndogo ndogo ambazo hazihitaji mtaji mkubwa. Hapa kuna mawazo ya biashara ambazo unaweza...
Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili.
Kwa kutumia teknolojia...
Kwakuwa watanzania wengi wajasiriamali bado ni wageni wa masuala ya kifedha na mikopo, sio vibaya tukaelimishana kuhusu huchi kitu. Mazingira ya biashara Tanzania sote twayajua, unaweza lala una...
Husika na kichwa hapo juu, naomba kufahamu wapi nitapata connection kutoka kwa wachina viwandani au kuagizia china nipate kununua pikipiki kwao moja kwa moja bila kwenda madukani kwa bei ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.