Naomba kusaidiwa jinsi ya kuingia hazina portal nmejiresta ila baada ya hapo kila nkitaka kuingia inagoma inanambia access denied na wananambia invalid login nkijarbu nkuforgot password ili nianze...
Hadi sasa hivi vijiti vya kuchokonolea meno (toothpik) vinatoka China na maeneo mengine ya huko Asia, sisi hatujaweza kuvitengeneza hapa licha ya kuwa na malighafi tele ya kutuwezesha kutengeneza...
Leo tuzungumze kidogo kuhusu mfumo wa malipo unaowekwa kama kigezo cha biashara kufanyika. Wateja wako makini wanajiuliza, “Letter of Credit inaweza kutumika?” Hii ni jambo la msingi kwa...
Napenda kuwasanua vijana na madini haya
Mikoa ya shinyanga na wilaya zake pamoja na tabora na wilaya zake baadhi pia umeanza uvunaji wa mpunga tokea mwezi wa4 mwanzoni mpak kuendlea!!
Manunuzi...
Wakuu habari.
Katika kujiongeza nataka nianze biashara ya kununua nafaka hasa mahindi, mpunga na maharage na kuja kuuza kwa jumla Dar. Naombeni mwongozo kwa anayejua masoko makubwa nayo weza...
Do you want to start any of the following 70 businesses?
• Precast Concrete Products (Cabro) Making
• Maize Milling
• 15 Unique & Untapped Ideas
• Quarry
• Motorcycle Spare Parts Retail
•...
Mafanikio Yako Yanaanza Hapa – Usiache Fursa Hii Ipotee!
Unakabiliwa na changamoto zinazokufanya ushindwe kufurahia maisha au kufikia malengo yako? Niko hapa kukusaidia!
🔥 Kwa Afya Yako ya...
Nipo Kibaigwa Dodoma natafuta mtu ambae yupo dar es salaam au Morogoro ambae atakua ananiuzia na kunitumia kwa njia ya basi bidhaa zifuatazo
1. Bahasha no. 3- original na ya kawaida
2. Blubendi...
Habari zenu wapendwa.
Samahani mimi nina kero ya mlipuko wa ushuru wa wafanya biashara malipo ya ushuru yamekuwa mengi halafu hayana kichwa wala miguu sijui wenzangu mnalionaje ushuru ulioniuma...
Kwema Wakuu!
Nimemsikia ndugu yangu ngara23 akilalamika mwezi mzima wa Tisa, na sasa tumeingia mwezi wa Kumi bado anaendelea kulia.
Kariakoo mawinga kabla mteja hajafika tayari wanakuwa na bei...
Habari Wana jamii forums
Mimi ni kijana wa kitanzania na pia ni muhitimu wa chuo kikuu Cha Iringa.
Nilipokuwa masomoni nilibahatika kukutana na Idea mbalimbali za kutafuta pesa na hii yote ni...
Habari za humu Wana familia,Mimi ni mgeni humu ndani,Nina mtaji mdogo Sana kima cha laki3 ndoto yangu nifanye biashara ya kununua na kuuza nguo na viatu vya kike,,nimejaribu za kutembeza napata...
TRANSPORTER CAR RENTAL.
1.Our company dealing with hiring luxury cars for
*Tours trips
*Wedding
*Sendoff
*Offices trips
*Airport trips pickup and drop off
*Funeral
*Private uses
For more...
Kabla sijakwambia ni STRATEGIES gani ningeenda kuzitumia ili kujenga hiyo brand…
Naomba kwanza nikwambie maana sahihi ya BRAND ili uweze kunielewa vizuri huko mbele.
Huwa napenda kuelezea brand...
Watalawa hawawaambii ukweli huu kwamba Hizi aina ya Idea/wekezaji/biashara zetu wabongo hazitupi nafasi hata kidogo ya kuja kushindana huko Duniani one day yes.
Huwezi kuja kushindana Duniani...
Wakuu mimi ni afisa mtendaji Nimepangiwa kazi huko Korogwe vijijini kijiji cha mpale,
Huku nilipo nina biashara zangu bado changa , nataka kuihamishia huko korogwe saiv nipo Dodoma.
Natamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.