Juzi niliwauliza wanaJF. una mshauri nini kijana ambae yupo mtaani tu hana ajira mawazo yalikuwa ni mengi na ni mazuri pia.
Ila na mimi leo nimeamua kuja na uzi ambao utakuwa na biashara kadhaa...
Habari zenu wanajamvi,
Nina uhitaji eneo linalofaa kwa ajili ya uwekezaji wa hotel/camp ya kitalii katika eneo la bonde la ufa linaloangalia ziwa Manyara. Yaani ule ukingo wa bonde la Ufa
Eneo...
Salamu Wakuu Leo Napenda Kuwashirikisha Katika Mchanganuo Huu Wa Biashara Ya SALOON Hasa Ya Kiume.
Biashara ya SALOON Ya Kiume ni Wazo Zuri. Hapa chini Nimekuandalia Mchanganuo Wa Biashara Hii...
Nahitaji kufahamu kuhusu sheria za kuchukua au kukopa pesa bank hasa kwa wafanyabishara wadogo wadogo.
Kuna mikopo inatolewa na bank ya NMB kwaajili ya machinga na wafanyabishara wadogo wadogo...
WILAYA YA MUSOMA - FURSA ZA KUKUZA UCHUMI NA MAENDELEO
Tarehe ya Kongamano: Jumatatu, 30 Dec 2024
Mahali: Kiwanja cha Mukendo, Manispaa ya Musoma
Mgemi Rasmi: Mhe Juma Issa Chikoka, Mkuu wa...
Jamani mimi nina chaneli ya high quality mbao (zilizokatwa na ambazo bado hazijakatwa) for export toka nchi jirani. Documents na leseni zote zipo. Nafikiria masoko ya Far East na Middle East...
Habari.
Biashara ya saluni ya kunyoa na kupunguza nywele utaratibu wa kulipia mapato ya serikali ukoje?
Naomba ufafanuzi nisije kuyatimba wakati mwaka bado bikra huu.
Wakuu,
Watu kutoka manispaa za Kinondoni na Temeke wamekuwa na hekaheka za kwenda kwenye sehemu za wafanyabiashara, maarufu kama fremu na kupima mabango ambayo yapo kwenye sehemu za biashara, na...
Salaaam Wachumi
Rejea mada hapo juu
Je upi ni uwekezaji ulio bora endapo katika harakat zako za utafutaji ukajaaliwa umeishika 30Mil cash
Na option ukawa umeweka ni hizo mbili kati ya kuwekeza...
Kama ilivyo hapo juu, Mimi ninachimba Mwime ya Kahama Shinyanga.
Nimechimba shimo ambalo limefikia kwenye uzalishaji ila lina changamoto kwenye mtaji. At least mtaji wa nyongeza wa mil 5 and...
Kama unahitaji kusajili kampuni au jina la biashara
Kubadili jina la biashara au kampuni n.k.
Nitumie ujumbe whatssap au piga simu 0765991551.
Nikufanyie mchakato hadi kazi yako ikamilike.
NItakupa sababu mbili muhimu kwanini usitumie kadi yako ya TIGO mastercard kununua vitu online.
1. Hii kadi wameunganisha mojamoja na akaunti ya Tigopesa, hamna control ambayo mteja unakua nayo...
Mwaka 2009 wakati bitcoin inaanzishwa ilikuwa na thamani ya usd 0.4 ambayo ilikuwa ni kama tsh. 520 tu kwa wakati huo, ilipanda thamani taratibu na hivi sasa miaka 16 baadae thamani ya bitcoin...
Habari zenu wana JF
Ninamtaji kidogo na ninawazo la kufungua biashara ya Nafaka kma mchele, unga, maharage n.k huku Kigamboni Dar.
Naomba kwa wanaofahamu masoko ya Nafaka ya jumla. Nitashukuru...
Habari wana JamiiForums,
Mimi ni mtaalam wa kuunda software za simu na kompyuta. Natamani kutengeneza mfumo wa logisitics/delivery ambayo itagusa kila mfanyabiashara ambaye biashara yake inafanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.