Nilikuwa Mbeya huko nikapita mitaa ile ya SIDO ni kama vile duka la Vunjabei linapumulia mashine, halina mzunguko wa biashara kivile.
Jana nimepita Iringa napo naona lile duka alilolifungua kwa...
The recent strengthening of the Tanzanian Shilling (TZS) against the US Dollar (USD) may have been a short-lived one, potentially qualifying as a “wool fire” (a brief, unsustained event) rather...
Wadau natamani kuwekeza kwenye kilimo cha ufugaji nyuki na kufa ya baishara ya Asalia nchini Tanzania. Ningependa kujua taarifa za kuasidia kujua hali ya biashara na ili mtu afanikiwe ni mambo...
Baada ya kupokea mabehewa ya mizigo, ni suala la muhimu sana ma container ya mizigo yanayokwenda ushoroba wa Kati yaanze kusafirishwa Hadi Dodoma kwa SGR na mamlaka iandae bandari kavu Dodoma ili...
Good evening wadau,
Naombeni mawazo yenu na experience ni biashara gani au investment ambayo nitaweza kufanya Kwa mtaji wa Tsh. Milioni 20.
Napendelea ile biashara ambayo ni stress free, na...
Habari wanajamvi,
Natumaini Krismasi inaenda vizuri. kwa mliowahi kanisani, hongereni. Kwa wengine ambao wanatumia fursa hii kupumzika, nawatakia mapumziko mema (binafsi likizo ya wiki moja...
Lengo la uzi huu ni kumtia moyo kijana aliyeamua ku take risk na kujiajiri,Ni kweli Kwenye biashara Kuna ups and downs,Kuna light and dark,Kuna kila aina ya rangi lakini mwisho wa siku biashara...
Wakuu kwema?
Nina mtaji wa million mbili (2m), nimekuja kwenu kama wana jamii nikihitaji mawazo bora ya ujasiliamali kwa mikoa ya Mwanza, Dodoma na Dar es salaam. Mikoa hii nimeichangua nikiwa na...
The question of whether a nation heavily reliant on external aid (“beggar nation”) can graduate from such dependency is complex. It requires a multi-dimensional analysis incorporating economic...
Benki ya Standard Chartered na Access Bank Plc zimefikia makubaliano ya uuzaji wa hisa za Standard Chartered katika kampuni tanzu nchini Angola, Cameroon, Gambia na Sierra Leone, pamoja na...
Habari zenu enyi makampuni ya huduma za mawasiliano. Nakuja kwenu kwa lengo la kuwapa wazo la kibiashara ambalo litaweza kuboresha huduma zenu kwa wateja, haswa kwa upande wa intaneti. Changamoto...
SERIKALI YABAINISHA MIKAKATI YA KUREJESHA HADHI YA MADINI YA TANZANITE
-Waziri Mavunde azindua mnada wa ndani Mirerani.
- Minada ya ndani na nje ya nchi kutumika kutangaza madini ya vito...
Kampuni za kibiashara ni miongoni mwa vyanzo vya mapato kwa mashirika ya hisani (charity organizations) kwenye utekelezaji wa miradi na program mbalimbali. Utafutaji wa fedha kutoka kwenye kampuni...
Naomba kuuliza jamn wafanyabiashara wenzangu JF,
Hivi ukishakadiria kodi pale TRA na ukapewa na control namba ulipe labda awamu tatu ya mwisho wa mwezi. Sasa mfano mwisho wa mwezi umefika umelipa...
Niende mojakwamoja kwenye kichwa cha habari. Mfumo wa Brela Ors imekuwa changamoto kubwa sana kwa watumiaji.
Nimejaribu kuifungua toka alhamisi tarehe 19 desemba 2024 haipatikani mpaka leo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.