Mfanyabiashara mashuhuri wa Kitanzania, Edhah Abdallah, kupitia kampuni yake Amsons Industries (K) Ltd, amefanikisha ununuzi wa asilimia 96.4 ya hisa milioni 362.96 za Bamburi Cement, kwa jumla ya...
Habari wakuu 4G Router TP Link Archer MR400 inauzwa Bado mpya imetumika muda mchache tu.. imenunuliwa mwaka huu Tarehe 8/02. Imenunuliwa 220,000/= risiti ipo.
Njoo na OFFA yako CALL au WhatsApp...
Naomba mchanganuo wa gharama za kupata mashine ya kukoboa na kusaga fully Kwa DSM kwa mahitaji ya kijijini hasa iwekwe mkoa wa Tanga,karibuni wadau wazoefu kwa ushauri mnipe mwanga wa upatikanaji...
Ningependa kushare nanyi sababu mbalimbali zinazowafanya wafugaji wengi wa samaki kutofanikiwa katika hii biashara yenye Tija na Rahisi kufanya.
Huu ni mwaka wangu wa Tano toka nimeanza kufuga...
Wakuu kwema? Mm sijambo
Nilikuwa natafuta scientific reason ya kubadili mawazo yangu ya kupeleka biashara maeneo ya kusini na kuchagua eneo jipya la kupeleka biashara.
Mpango wa biashara ni...
Ninataka nikatafute CD nianze biashara ya kuweka movies, nisaidieni majina ya movies kali sana za siku za hivi karibuni zinazovutia sana watu wengi.
Aksanteni nyote!!
Salaam, nikienda direct kwenye point nilikua nahitaji baiskeli ya kuchaji design kama hii, sio lazima iwe ivo ivo kama kwenye picha ila iwe ni ya kuchaji na unaweza ukanyonga na pedeli , nipo dar...
Ni nini tofauti kati ya Majina haya yanapotumika katika baiashara mbalimbali: Kampuni, Entreprises, Investiment, groups, Limited (Ltd)
Nini Faida yake katika biashara
Utaratibu wake wa usajili...
Wakuu,
Si wote tunaweza kwenda China kufuata mizigo hasa hii midogo midogo ya matumizi ya kawaida na pengine biashara. kwa miaka takribani mwili nimekuwa nikiagiza kupitia hawa jamaa wanaitwa...
Nenda zako hadi Karume pale. Hakikisha saa kumi kasoro inakukuta Karume. Mida hiyo wananafungua mabaloo ya mitumba grade one.
Viatu ambavyo utavipata kwenye maduka ya Mwenge na kinondoni kwa...
Wakuu msaada kwa wale wanaofahamu faida ya biashara ya kuuza nyama ya ngurue ikoje na vip changamoto zake nina mtaji wa laki 2. Vifaa ninavyo. Asanteni.
Habari wakuu,
Huwa naisikia UTT Amis kupitia mifuko yake ambayo ipo takribani sita, wekeza maisha, watoto fund, umoja fund, bond fund etc.
Je, kuna mdau yoyote ambae ni member wa UTT anipe...
RAIS MWINYI: KUSHUKA KWA DOLA KUTAPUNGUZA BEI ZA BIDHAA.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, amesema kushuka kwa thamani ya dola nchini ni faraja kubwa...
Mm n kijana wa kitanzania, npo maeneo ya Nyegezi Mtaa wa Nyamazobe, ninahitaji kufungua biashara ya kuweka movies na nyimbo mbalimbali,
1. Naombeni ushauri wenu wadau kuhusu vitu vya msingi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.