Habar wapendwa humu JF
Bila kupoteza muda katika pulukushani za maisha kuwa magumu kuna wakati unaona the only solutions ni kuchukua mkopo katika taasisi za fedha mbalimbali ili kufungua ofisi...
FURSA YA USHIRIKIANO: NATAFUTA BIDHAA ZA KUUZA KWA MAKUBALIANO YA MALIPO BAADA YA MAUZO
Maelezo:
Habari,
Jina langu ni Ramadhani Juma Kimweri, mjasiriamali mwenye nia ya kuendeleza biashara kwa...
Habari zenu wakuu!
Ninatumaini mko pouwa asee, ninashida moja juu ya ufahamu wangu juu ya Bima ya Mkopo ambao mtu akichukua mkopo Bank. Hii Bima ya mkopo imekaaje au sheria inasemaje kuhusu hilo ...
Wakuu hii ni mada maalum ya kupeana mbinu, updates na kushea uzoefu kwenye biashara hizi za minadani au magulio.
Nina plan na mikoa ya nyanda za juu kusini kibiashara. Nataka kupeleka mitumba...
Are you serous with your business?
You’re provider of quality Service Ofcourse but nobody recognizes you indeed.
Why don’t you portfolios your hand work online on #bishoo .
It’s free to list your...
SU VASTIKA SOLAR INVERTER
SU-VASTIKA
Inverter kutoka India zenya ubora wa hali ya juu
Kwa sasa zinapatikana dukani kwetu zipo size kwanzia 850VA hadi 5500VA
Warranty ipo.. karibu sana ndugu...
Habari za muda huu waungwana.
Kuna hii gari ndogo inayo fahamika kwa jina la Daihatsu Mira (year 2007/2008). Nimeipenda jinsi ulaji wake wa mafuta ulivyo mdogo kulinganisha na gari nyingi ndogo...
Habari za asubuhi waku, Niende moja kwa moja kwenye hoja.
Tuna mradi wa ubunifu wa kufuga wadudu kwa lengo la kubadilisha taka hai kuwa bidhaa zenye thamani kama mbolea na chakula cha mifugo...
Habari za mda huu
Nina million 1200000 wazo la biashara nililolipata ni kununu a pikipiki ya laki 8 alafu pesa inayobaki ninunue nguo za ndani za wadada na vigauni vikali niwe nawatembelea...
Hi Great Thinkers.
Hii dunia imejaa distractions amabazo sometimes zinaweza kukupotezea malengo y'ako.
Sasa Kwa wale wanaojitafuta na hustlers unazani ni vitu vipi vimekupotezea malengo.yako...
Habari wasakatonge wenzangu.
Leo asubuhi nilikiwa ghetto maeneo ya Troyes street hapa jijini Pretoria. Nikaona isiwe tabu ngoja nizame mitaa yangu ya zamani nijaribu kicheki na washkaji wa...
Kariakoo ni fursa kubwa ya kiuchumu kwa Tanzania. Soko hili linazihudumia nchi jirani za EA na za kanda ya kusini kam Congo, Zambia, Rwanda, Malawi, Zimbabwe n.k
Kama tungekuwa tunaliona hili kwa...
Kama nilivyosema ninataka nianzishe biashara ya ps ama Playstation wengi wanavyoiita ila kumekuwa na makampuni mawili yanayoproduce deki tofautitofauti za games ambayo ni PS ya Sony na X BOX ya...
Wazee mpooo! Hiz raba mara ya mwisho tulipata tenda mwanza tukazituma. Kali sana na kuzugia zugia zinafaa
Size kuanzia 32 mpaka 43
Boksi zinakaa 24 na kila moja inauzwa elfu 10 kwa mchina so...
Poleni Na majukumu mazito ya hapa na pale wakuu.
Mimi nauhitaji wa Playstation 4 aina ya slimu kama kuna mdau anapajua mahali ambapo Consoles hizo orijino zinapouzwa anisaidie bei isizidi laki 5...
Blue Ocean Strategy ni nini?
Blue Ocean Strategy (Mkakati wa Bahari ya Bluu), ulioanzishwa na W. Chan Kim na Renée Mauborgne, ni mbinu ya ubunifu wa biashara na ukuaji. Badala ya kushindana kwenye...
DAVID KIHENZILE: SERIKALI ITAENDELEA KUBORESHA BANDARI KATIKA MAZIWA MAKUU
Naibu Waziri wa Uchukuzi Mhe. David Kihenzile amesema kuwa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia...
Hello everyone! I am a Google Analytics professional. I specialize in helping businesses optimize their online presence through data-driven insights.
I offer services such as website analytics...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.