Kodi ni muhimu sana ili kufadhili shughuli za serikali, huduma kwa umma kama vile barabara na mashule, Usalama wa Jamii, Afya na Mengineyo.
Sasa kama hata hayo kuanzia Elimu (Mikopo na Shule...
'Ninahisi' TZS ipo pegged kwenye USD bila sisi kujua.
Ninasema hivyo sababu toka TZS ipande thamani ghafla dhidi ya USD basi graph za currencies nyingi duniani zimeonesha TZS ikiongezeka thamani...
Wapendwa wa familia kubwa ya JamiiForums. Waswahili wanasema KIZURI KULA NA NDUGUYO.
Tunaingia kwenye zama za biashara na manunuzi mitandaoni, yaani muuzaji na mnunuzi hamfahamiani kabisa bali...
Nyaraka za zabuni (Tender documents) ni mkusanyiko wa nyara-ka zinazoandaliwa na taasisi nunuzi kwa lengo la kuwaalika wazabuni wenye sifa za kushiriki katika mchakato wa zabuni ambapo hatimaye...
Habari zenu wana JF tupo hapa kukumbushana mambo kadhaa kuhusu maswala ya uwagizwaji wa magari.
Unapotaka kuagiza gari ni vema kujua gharama za kodi linapofika bandarini itakufanya ujipime mfuko...
MOLD ZA MIKANDA YA GYPSUM
Tangazo:
Unatafuta vifaa bora vya kutengenezea mikanda ya Gypsum? Chagua bora, chagua Kirame Group! Tunapatikana kwa huduma zote zinazohusiana na gypsum, pamoja na...
Habari humu JF?. Dunia inaenda na wakati kwa kila Jambo. Basi hata maswala ya kifedha pia kutakuwa na mabadiriko makubwa. Siku si nyingi dunia itahamia kwenye matumizi ya sarafu kidigital. Yaani...
Habar wanaJF naombeni ushauri ni crytocurrency ipi nikiwekeza kwa mtaji wa laki moja baadaye inaweza nipatia pesa kwa kipindi Cha miak 2
Naombeni ushauri, na mapendekezo please!!!
Asanteni sana...
Ndugu zangu mnaopambana na maisha Leo nawaletea fursa Kwa vijana wanawake na wanaume ambao mna Leseni ya udereva mnaweza kuendesha gari/pikipiki.
PIKIPIKI ni ajira acheni maneno ya Lema aliesema...
Nimefikiria kuanzisha biashara ya kuchomelea (welding) mageti, milango, madirisha na mambo mengine. Naomba kujua baadhi ya mambo.
Kwanza jinsi au wapi kwa kupata mashine na vifaa vingine vya hiyo...
Hii ni biashara nyingine kichaa yaani unawekeza milion 100 Kwa ajili ya laki 1 Kwa siku na hiyo pesa unalipata kkwa mbinde na siku nyingine utaletewa mpaka elfu 50.
Aisee huyu mtu anaakili...
Mimi ni muhitimu wa chuo kikuu mwaka 2024 mwezi wa nane. Nimesoma mambo ya uhandisi wa mashine zote za Hospital, Kwasasa naishi maeneo ya Nyegezi Mwanza mtaa wa Nyamazobe. Nina kiasi cha Tshs...
Nimepata fursa ya kufika eneo la MAGHALANI -MTWARA. Eh bwana eeh nilichokishuhudia imenifanya nijiulize mara mara mbili mbili kwa nini MTWARA mpaka sasa ipo nyuma kimaendeleo namna hii.
Yani...
Eneo linauzwa lipo Goba njia nne barabara ya kuelekea Madale lina faa sana kwa ajili ya kujenga sheli ya mafuta au Kujenga maduka makubwa.
Eneo lina ukubwa wa sqm 4800 na ndani ya eneo kuna...
Wadau, nimeanzisha shamba la nanasi heka 5, three years ago, maeneo ya Misigi( 17 Km from Chalinze). Sasa lina maximum production. Changamoto yangu ni soko. Nahitaji masoko ya Arusha, Moshi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.