Biashara ya kununua na kuuza ardhi ni mojawapo ya njia bora za kuingia katika sekta ya uwekezaji wa mali isiyohamishika. Hata hivyo, kwa mtu mwenye kipato kidogo, changamoto ya mtaji inaweza...
Today's 2nd withdrawal
🔥 MPYA KABISA! FURSA YA KIPEKEE YA KUWEKEZA! 🔥
Kuna platform mpya na ya kibunifu inayokupa nafasi ya kuwekeza na kufaidika! 🚀
Hii ndo nafasi yako ya kuanza mapema na...
Wakuu habari, ni muda gani naweza kuuza vipande kwenye mfuko wa UTT liquid Fund au mfuko wa Ukwasi, je naweza kuuza hata baada ya mwezi mmoja au miwili baada ya kununua ama ni mpaka meiezi mitatu...
Wahuni wanachakachua sana maji ya chupa ya Kilimanjaro. Mimi nina zaidi ya mwaka mzima sinywi maji ya Kilimanjaro. Maji yangu pendwa kwa sasa ni Dew Drop.
Je wewe unakunywa maji gani?
Salaam wakuu,
Naomba wakuu mwenye uzoefu na biashara ya vyuma chakavu anieleweshe jinsi ya kupata vibali kimoja baada ya kingine na leseni pamoja na bei zake.
Kwa mfanyabiashara mdogo tu mwenye...
Nauza diesel iliyothibithswa na yenye Vibali vya EWURA, nauza Lita 2600 tshs
Sharti: Ili tufanye biashara lazima uwe unanunua kuanzia kuanzia Lita elfu 50 kuendelea
Eneo: Dar-Es-Salaam...
Nimeona huko mtandaoni wataalamu wakielezea sababu za Tsh kuimarika dhidi ya dola.
1. Wanadai kuwa kwa sasa ada zote za utalii zinalipwa kwa Tsh. Kwa hiyo watalii hao wanatakiwa kutumia dola...
Providing strategic solutions to projects in the following areas:
1) Education (primary, secondary and intermediate colleges providing various certificates)
2) Community based programs or...
Hello wanjamii Kwa mtu yeyote ambaye anafaham sehem ambayo ipo sehem nzurii Kwa car wash hapa JIJINI DAR es salaam anifahamishe.
Kuhusu vigezo
Nataka iwe sehem ambayo ipo road inafikika kirahis...
Bulk SMS ni huduma ya kutuma ujumbe wa maandishi kwa watu wengi kwa wakati mmoja kupitia simu za mkononi. Huduma hii inatumiwa na makampuni, mashirika, au hata watu binafsi kutuma ujumbe mfupi kwa...
Habari za Leo Wana jamvi.
Hivi simu hizo wanazotuambia wanaagiza from Dubai Korea Japan n.k hivi Zina uhai wowote au tunapigwa tu.
Nataka ninunue Samsung note 10 au Aquos R6 hiz wanazosema ni...
Wakuu hiv karibuni Shilingi ya Tanzania inaimarika Sana dhidi ya Dola.
Leo jion ilikuwa USD 1 = Tsh 2375
Lakin Kwa nionavyo kuimarika huku ni Kwa muda Tu na January mwishon au February USD 1...
Kuna watu nikiwemo na mimi wameagiza mizigo yao toka July hadi sasa hivi November hawajapokea na matumaini kama watapokea au imepotea haijulikani, huduma kwa wateja hawapokei simu au majibu...
Habari wakuu.
Kwenye Jamii yetu watu wengi ni watumwa wa pesa yaani unakuta mtu anafanya kazi kwa bidii sana hadi anakosa muda wa kukaa na familia yake yote sababu ya pesa.
Sisemi ya kwamba...
Je, wewe ni mjasiriamali na unajiuliza ni vipi utaongeza ubora wa bidhaa zako na kuongeza mauzo. Leo Digital Sprayer tunalo jibu la maswali yako. Tumekuletea huduma ya uchapaji(printing) na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.