Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Naomba kuuliza hivi nimenunua mzigo kwakutumia application ya alibaba kutoka china then mzigo akapewa Agent. Agent akanitajia gharama zake. 1.Je, mzigo ukifika nitahitajika kulipia kodi? 2. Au...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari wana JF, Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuagiza nguo za special za kupoint kutoka kwa wauzaji mbalimbali mtandaoni, hasa kwenye mitandao kama Alibaba. Hii ni biashara ambapo...
7 Reactions
55 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia...
1 Reactions
26 Replies
1K Views
Habari ndugu zangu, mm kijana wa kiume(26) napatikana Dar es salam-kigamboni, hivi karibuni nmepata wazo la kufanya biashara tajwa hapo juu lakin katika kuandaa business plan yafuatayo nayataftia...
0 Reactions
1 Replies
436 Views
Pata mchongo wa machimbo ya bei chee hapa Chimbo la viatu kariakoo Mtaa wa congo na skukuu
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Nikiingia mtandaoni nasoma kwamba Tanzania inauza nje ya nchi mazao ya kilimo kama vile mahindi, mchele, maharage, viazi n.k kwa matani na matani. Mtanisamehe kwa unyenyekevu wangu na uwazi wangu...
0 Reactions
2 Replies
407 Views
Hi huyu mwenye hii Kampuni ya Jeccs construction ni nani na nani yupo nyuma yake ? Takukuru waichunguze maana anapendelewa sana na serikali na ana miradi zaidi ya 800 nchi nzima ya thamani zaidi...
2 Reactions
5 Replies
361 Views
Habari zenu wakuuu..! Hivi kipi bora kati ya kuwa winga wa kila kitu au ku-focus na bidhaa moja tu!? Naomba maoni yenu wakuu!
2 Reactions
38 Replies
2K Views
Habari Kwa anayejua haya makampuni msaada wa kushare contacts, Mfano kuchukua wafanyakazi kila siku kuwarudisha majumbani na muda mwengine kuwaleta kazini, coaster au aina nyingine ya magari yote...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Aslaam, Kutokana na changamoto za Maisha ambazo hutufanya kawaza kutafuta ridhiki kila kukicha, wengi tumejikuta kujikita Mawazo yetu kwenye kufanya biashara ili tuweze kujikwamua katika mambo...
5 Reactions
8 Replies
1K Views
Nisipoteze muda naomba niingie ndani ya lengo . Ndugu zangu nina mpango wa kumfungulia shemeji yangu wakike biashara ili na yeye awe anajipatia mahitaji yake madogo madogo kuliko kuwa anashindia...
3 Reactions
5 Replies
480 Views
Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk. Naomba mawazo...
2 Reactions
29 Replies
689 Views
Tunaamini ukila ukashiba na akili inalala,, Kama elimu yako ndogo, masikini na matapeli ndo hawatowaelewa hawa watu ukitaka jua sifa ya mtu hohehahe ni kuwachukia hawa jamaa. Wakati najitafuta...
3 Reactions
44 Replies
1K Views
Yaani uchimbaji na uhunzi wa madini ya chuma leo 2024 ambapo wenzetu wanafikiria akili mnemba(AI) umeshindikana Mpaka mmetafuta kampuni ya kichina. Kwamba mmeshindwa kuwapa motisha kampuni za...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Kwa siku za karibuni, sarafu ya Tanzania imepanda thamani kwa kasi dhidi ya dola ya Marekani. Kutoka 2800 hadi 2300 Kwa hili twakushukuru Rais Samia 1USD= 2375 TSH
0 Reactions
10 Replies
447 Views
👉Biashara inayomilikiwa na muajiriwa Ina possibility kubwa ya kusurvive kuliko ya aliyejiajiri pekee sababu zifuatazo 👉 Mikopo kwa waajiriwa ni rahisi kuicover Bila kuathiri asset zao ambazo...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari! Nadhani watu wengi mmeshawahi kuskia watu kadha wa kadha wakisema ya kwamba dunia inaendeshwa ki mfumo, ila pia mlio wengi huwa hampati nafasi ya kuuliza watu hao wanaosema hivyo...
2 Reactions
11 Replies
816 Views
Habari, mimi nimeanzisha kampuni ya kutoa huduma za ki ICT. Ofisi ya kampuni ipo Dar es Salaam, kuna vifaa vya kazi kama Computer 5, printer 2, ofisi kubwa yenye AC, mashine nyingine kama mashine...
5 Reactions
7 Replies
617 Views
Wafanyakazi wa serikalini na baadhi ya makampuni huwa wanakatwa pesa kila mwezi kwenye mishahara yao kwa ajili ya malipo yao ya mafao ya kujikimu wakistaafu. Mafao wanayopewa kwa mkupuo moja huwa...
34 Reactions
164 Replies
8K Views
Habari, Naomba kujua naweza kufanya nini ili niweze kuwa agent wa kupokea mizigo ya AliExpress na Alibaba? Vigezo ni vipi hasa? Na naweza kujisajili vipi? Na nitakuwa nalipwaje? Kwa maana hii...
3 Reactions
6 Replies
540 Views
Back
Top Bottom