Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Ukipita mitaani kuna wapenzi wa Pepsi na wapenzi wa coca cola na kila mtu huisifia soda anayoipenda . Kuna kipindi nliwahi kuwa Mnywaji wa Pepsi baridi kadri ninazidi kuzinywa nikajikuta nazidi...
9 Reactions
76 Replies
2K Views
Iko hivi siku sita zilizopita nilikopa li ten mtandaoni, basi kwenye app yao wanaonesha kwamba kesho ambayo ni tarehe 16 mwezi huu wa nane iwe ndio mwisho wa kulipa pesa yao. Cha kushangaza...
12 Reactions
42 Replies
1K Views
Kwa wanunuzi wa choroko, kama unataka kununua, huu ndio msimu wa kununua. Kwa wenye mitaji unakaribshwa, choroko ni nyingi sana. Bei wanunuzi wameanza na elfu moja kwa kilo. Njoo unishirikishe...
2 Reactions
5 Replies
854 Views
Habari za Kazi ndugu wadau..? Niko mbele zenu kuomba ujuzi wa namna ya kuendesha biashara ya Kuuza Daftari Kwa bei za jumla.. Naomba nisaidie kujua hatua za kufanya ili kufanya kazi hiyo. Pia...
1 Reactions
2 Replies
386 Views
Mimi ni mkazi wa Dodoma mjini,nina camera cannon mark 3 nina kamtaji kadogo ninataka kufungua kabiashara kadogo ka studio. Ni vifaa vipi vichache vya muhimu naweza kuanza navyo au kama kuna mtu...
3 Reactions
4 Replies
210 Views
Wakuu, ni matumaini yangu wazima wa afya, Nijikite Moja Kwa Moja kwenye mada husika. Naomba msaada juu ya biashara gani naweza fanya nikajikwamua katika hali ya chini. Moja ktk harakati za...
17 Reactions
220 Replies
28K Views
Kichwa cha habari nahisi kimeeleza kila kitu kabisa, nahitaji maoni maana niko njia panda. Kuzingatia hiyo pesa, nipate kiwanja na kukodisha frem ya biashara yeyoteee.
4 Reactions
36 Replies
3K Views
Muongozo wadau ni naitaj kufungua restaurant ndogo ya kawaida,mtaj kima cha chin ni 700,000.location dar msaada wa mawazo wadau mim ni kijana wa chuo,UDSM.Asanten.
2 Reactions
4 Replies
1K Views
𝗨𝗴𝗼𝗺𝘃𝗶 𝘄𝗮 𝗰𝗼𝗰𝗮 𝗰𝗼𝗹𝗮 𝗻𝗮 𝗣𝗲𝗽𝘀𝗶 Moja kati ya tangazo la kitambo liliundwa ili kumdhihaki Coca-cola toka kwa Kampuni ya Pepsi, ni hii tangazo la unywaji wa soda ya pepsi. Shida ilianza pale Coca...
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Salaam, Kila mtumishi aliyeajiriwa, akumbuke itafikia wakati atalazimika kustaafu kazi. Kustaafu huku inaweza kuwa ni kwa hiari ama kulazimishwa kutokana na Umri (Miaka 60 ama 65 kwa Wakufunzi wa...
33 Reactions
225 Replies
4K Views
Wakuu Habari. Naomba kujuzwa taratibu za kuagiza pikipiki kutoka nje (Mfano Japan). Kwa magari tunaona kuna website kama Beforward Tradecarview Autocom etc, sasa kwa pikipiki kuna utaratibu huo...
3 Reactions
19 Replies
6K Views
Wakuu nataka kununua tv inch 55 nasikia bei imepungua ipi ni brand nzuri yenye picha nzuri na inayodumua kwa muda
1 Reactions
57 Replies
5K Views
Habari wadau, niliwahi kuja na uzi hapa kuhusu D09 CLUB Miezi michache kabla haijapotelea kusikojulikana na nilishambuliwa sana na waliliwa pesa zao na bila kujua hatma yao wanarudishiwa vipi na...
40 Reactions
892 Replies
226K Views
Nina dharura ya gafla, niliweka kias fulani bank kwa kujua kua baada miez 6 nitaenda itoa, lakini nimepata pesa gafla lengo nichanganye na ile ya NBC ili nifanye biashara fulani lakini muda...
3 Reactions
10 Replies
551 Views
Biashara ya kukata na kuchongesha funguo ni shughuli muhimu katika maisha ya kila siku, hususani katika miji mikubwa ya Afrika. Hata hivyo, biashara hii, kama nyingine yoyote, inaweza kutumiwa...
1 Reactions
4 Replies
536 Views
Habari zenu Wana JF, Awali ya yote ningependa kumshukuru mwezi mungu kwa kutujalia uzima na afya njema kwa niaba ya wana JF wote Andiko langu ni kutaka msaada kwa waliotangulia katika tasnia ya...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
…kabla Sijakwambia ni Kosa gani Naomba kwanza Nikuulize hili Swali hapa Chini... . “Je ni Kweli Ungependa kujua Kosa Lako MOJA Kubwa Unalofanya Kila siku kwenye Maisha yako?..” . Kama Jibu Lako...
26 Reactions
51 Replies
4K Views
Habari zenu wakuu 👋🏽 👋🏽 Ktk kuishi kwangu na kuchunguza chunguza baadhi ya mambo, nmegundua kuwa wanawake wengi wamekuwa mstari wa mbele kwenye kumiliki biashara kubwa na ndogo ambazo zimekuwa...
3 Reactions
7 Replies
646 Views
PART I: NAFASI YA WANALINDI KWENYE MRADI WA GESI LINDI. Mradi wa kuchimba na kuchakata gesi asilia (LNG) Lindi mjini ni mradi ambao wakazi wengi wa Lindi wanautegemea uje ubadirishe maisha yao...
4 Reactions
1 Replies
472 Views
Habari zenu wadau naimani mungu Bado anatueka salama Leo nimekuja naombeni ushauri kuhusu biashara ya kuuza nguo minadani Kwa kufungua baloo kabisa je itanilipa nimepanga kumuajiri mtu awe...
1 Reactions
4 Replies
425 Views
Back
Top Bottom