1 👉Usiweke ndugu kwenye biashara ndugu wanaweza kuwa chanzo cha kukumaliza na kama utaweka ndugu basi fungua kampuni in form(active partnership) Kila mtu awajibike kwa loss za kampuni Kila mtu...
Mtu anapokuwa maskini au kukumbwa na changamoto za kifedha, mara nyingi akili yake huzongwa na mawazo ya matatizo yanayomzunguka, ambayo yanaweza kumfanya aone kila kitu kuwa kibaya.
• Hii ni...
Mimi ni mfanyabiashara wa nafaka hapa jijini Dar es Salaam. Sio mgeni katika kufanya biashara ila naweza sema ni mgeni katika kufanya biashara ya kwangu. Kwa sababu hapo awalii nilikuwa nafanya...
Habari wana JamiiForums, poleni na majukumu ya hapa na pale 🤝
Imekuwa kawaida sasa kwa watu waliofanikiwa kiuchumi kubaki na siri zao namna walivyo ukimbia ukata, kila Tajiri utakaye muuliza...
Salamu kwenu,
Kwa wataalamu wa matrekta, tusaidizane namna ya kupata trekta ya mtumba aina ya Massey Ferguson 165, bei yake kwa hapa nchini tanzania, ikiwa na mpini wake. Ili nianze kuseti...
Naombeni kujuzwa kuhusu biashara ya vitunguu maji, namna ya kuvitoa mashambani na kuleta sokoni.
Bei yakununulia range yake pamoja na ya kuuzia, pia connectos za mashamban na wanakouzia sokoni.
Habari!! Jamii forum.
Naomba kufahamu kama dodoma kuna ofisi za taasisi ya masoko ya hisa CAPITAL MARKETS AND SECURITIES AUTHORITY (CMSA). Je, kama zipo zitakuwa maeneo gani?🙏
Kabla ujaanza kufanya biashara yoyote usikurupuke kwanza...
Jibu haya maswali au angalia majibu ya haya maswali kutoka kwa wachangiaji alafu ndo ujiulize je unaweza biashara au upo hapa kufata...
Naomba kwanza niliweke wazi jambo hili kwamba … Kama kweli upo serious na Biashara yako, basi mambo yafuatayo hutoyaona kama ni Gharama bali ni Uwekezaji.
Sasa ntajaribu kuelekeza kwa ufupi...
Mkurugenzi wa Mawasiliano Benki ya CRDB na Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB Bank Foundation, Tully Esther Mwambapa (wapili kushoto) akiwa na tuzo ya Benki Bora Tanzania kwa mwaka 2024 ambayo benki hiyo...
The challenge is that companies are not accessing the forex they require for the importation of raw materials.This is basically the mismatch between the forex and available supply on the formal...
Nmeanzisha mradi wa ufugaji wa kuku wa kienyeji kibiashara.
VIJANA WENZANGU, Niwatoe hofu na kuwatia moyo ufugaji wa kuku wa kienyeji utakupa matokeo makubwa kupanda kiuchumi, kwa kuzingatia...
BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
Nataka kufanya biashara ya juice,hii ya kutengeneza,matunda ya embe na nanasi,nawapa wadada wanaenda kuuza maeneo kama masokoni na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.