Habarini Ndugu Wana JF,
Samahani ninaomba kujua namna na jinsi navyoweza kuwa winga kwenye uuzaji wa magari Ninachohitaji kujua ni
1.Nawezaji kupata magari ya bei ya chini na wapi...
Wakuu naamini kila MTU Ana ndoto ya kufanya biashara Fulani ili afikie malengo yake aliyonayo.
Naamini Kuna wengi wanatamani kujua zaidi hii biashara kabala hawajaingia
Kuna Aina nyingi za Fursa...
Habari za muda huu,
Wafanyabishara wenzangu.
Vipi hali ya biashara kwa upande Wako ikoje, ama mzunguko wa biashara ukoje kwa mwezi Huu, hasa hizi wiki mbili za mwisho wa mwezi wa 11.
Kwa upande...
Dar es Salaam. Tarehe 1 Desemba 2024: Baada ya kutoa huduma zenye ubora wa kimataifa kwa mwaka mzima, Benki ya CRDB imeingia mwezi Desemba kwa kushinda tuzo mbili kutambua juhudi zake za kukidhi...
Habari za muda huu Wana Jf. Niende Moja kwa Moja kwenye mada.
Leo Kuna sehemu nilienda kupata lunch na boss wangu, mmoja hv, maeneo ya slipway....nilipoingia wash room wakati natoka nikakuta...
Mala kwa mala huwa naagiza bidhaa kupitia aliexpress na kupokea mzigo kupitia posta kwa sasa nataka kuagiza mzigo kupitia alibaba na mzigo ni mdogo tu ambao nitatumia agent kama silent ocean n.k...
Habarini za saizi wana jamii forum,
Ama kwa hakika leo naomba tujadili ni namna gani utaweza kugundua ama kutambua biashara sahihi.
Ni vigezo gani vinatakiwa kuzingatiwa kugundua biashara...
Kunufaika na hisa (au uwekezaji katika soko la hisa) kunahitaji kuelewa jinsi zinavyofanya kazi na kuwekeza kwa busara.
Hisa ni umiliki wa sehemu ndogo ya kampuni, na unaponunua hisa unakuwa...
Tangulizi
Uwekezaji ni moja ya njia bora za kujenga utajiri wa muda mrefu, na nchini Tanzania, vipande vya UTT-AMIS (Unit Trust of Tanzania - Asset Management and Investor Services) na majengo ya...
Siku ya jana nilitoa fedha kwa wakala. Hapa nilipo huwa kuna mwendo kiasi hadi kufikia alipo wakala.
Sasa nina wakala ambaye huwa natoa fedha alafu namwagiza boda ananiletea mpunga wangu home...
Kuna vichannel vingi hasa vya kusimulia movie, huwa najiuliza ni kweli wanatengeneza pesa kupitia YouTube?
Na chanel nyingi ni za Kiswahili!
Mwenye yuko na chanel aniambie.
Habar zenu wadau ninaprnda kabati jeupe la nguo na nina mpango w akununua katika pita pita zangu nikaona mtàndaon wanasema eti rangi nyeupe inawai kufubaa haifai naombeni ushauri wenu je ni kewl...
Wale wawekezaji bond mpya imeanzishwa na CRDB Kwa lengo la kukusanya mtaji wa kurngeneza na kuboresha miundo mbinu. Niwakatu wenu kununua mpate mrabaha. Baadaye nitaaambia kuhusu Gawio la hati...
Habari wana Jamvi,
Mimi nimeajiriwa Serikalini hivi karibuni na sijamaliza miezi sita kazini. Nimeajiriwa mkoani Kigoma wilaya ya Kigoma Mjini.
Nimekuja hapa kuomba ushauri niwekeze mkoa gani...
Nakuja kwenu ndugu zangu naomba kwa wenye uzoefu na wenye taarifa sahihi kuhusu biashara ya welding (kuchomelea) naomba kujua
gharama ya vifaaa vinavyohitajika,
Aina ya vifaa na Bei zake
Ubora...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.