Ninaandaa mpango wangu WA BIASHARA Kisha naanza kuifanya baada ya kuona Sina kiwango Cha kutosha
Natangaza watu wanao WEZA kudhamini BIASHARA yangu Kwa makubaliano ya kugawana faida
Kwa hiyo...
Nilipewa hii habari juzi kati na ni kweli kwamba Wahindi wanao kaa Tanzania, hata Kenya pia, na kwingineko watoto wao walio zaliwa huku huku huwa wakisha fikisha umuri fulani wanapelekwa India...
Habari Ndugu zangu Wana JF nataka kupitia thread hii itukomboe wakulima juu ya MASOKO.kwaiyoo yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje ya hapa ata taja soko na BIDHAA inayouzika au inayouzwa...
Bila shaka familia ya JF, wote mko salama.
Nisiwachoshe, naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Mimi ni miongoni mwa wale wa "pangu pakavu," lakini namshukuru Mungu kwa kunijalia uhai na afya...
Hello wapendwa una mtaji mdogo au mkubwa na unataka uanze biashara ya Nguo za mtumba
Then karibu nikuhudumie kwa buku tu kukuelekeza na kukushauri kuhusu biashara ya nguo za mtumba
Za watoto...
Habarini wana JF,
Kama ada ya Watanzania wengi, nina wazo la kuuza internet kwa watu.
Muda mrefu nimekuwa nikifanya utafiti kupitia mitandao ya kijamii nimegundua biashara hii inaweza ikafanywa...
Jaribu kupiga mahesabu:-
Unatakiwa uuze viberiti vingapi ili upate milioni moja kama faida?
Unatakiwa uuze pipi tofi n.k ngapi ili upate milioni moja kama faida?
Unatakiwa uuze pakti ngapi za...
Nimewaza sana hili jambo
Kariakoo sijui wanaingizaje faida ama kuna mengineyo
Unakuta frame kubwa kalii hatareee
Ndani imejaa nguoxa ndani ii tupuuuu
Nje kuna BMW...CX5 KAMA ZOTEE
V8
JE HAWA...
Dear Hustler, mi ni mpambanaji mwenzenu mwenye bidii, uthubu na moyo wa kujituma kwa sasa niko Mwanza.
Nimeangaika sana kutafuta kazi sehemu tofauti tofauti bila mafanikio, naomba kama kuna mtu...
Nimeifikiria sana hii biashara ya kuchonga funguo za milango ya nyumba,vitasa na funguo za magari nikaona kuwa naweza kuifanya nikaongeza kipato hasa ukizingitia mahali nilipo huduma hii haipo...
Wakuu naitaji mtu mwenye pesa hiyo aje tuwekeze faida tutagawana ipo hivi nina shamba la miti ya mbao ipo njombe karibia hekari 25 nimekatia/nimeishiwa hela ya uendeshaji endapo atatokea...
Kwa muda mrefu sasa, nimekuwa naona jinsi watu wanavyohangaika kutafuta mawe ya kujengea misingi ya nyumba, viwanda masoko, mitaro n.k.
Kwenye baadhi ya miji, upatikanaji wa mawe ni wa shida...
SmartBusiness ni program ya usimamizi wa biashara ambayo itakuwezesha kusimamia taarifa za mauzo, matumizi, manunuzi ya stock, kufahamu bidhaa zilizobaki kwenye stock, madeni ya wateja na yale...
Habarii wana JF natumai wote mko salama.
Mimi ni mfanyabiashara wa mchele hapa Dar es Salaam
Nauza jumla na rejareja.
Ila nasikitika toka nifungue hiii baishara yangu nimepitia changamoto nying...
Wana JF
Jana nilitoka Dar to Znz na leo natoka Znz kuja Dar nikitumia boat za Azam
Boat ziko excellent, lakini departure lounge haziko sawa. both Dar na Zanzibar hakuna utaratibu mzuri
Kwa mfano...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza mimi ni kijana umri miaka 23 nimehitimu chuo mwaka huu .lakini kutokana na changamoto za ajira vijana wengi tumekuwa tukitafuta njia tofauti tofauti za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.