Na kalaga baho
Aseee nina furaha kubwa ya kujadili na wafanyabiashara wenzangu. Poleni sana watanzania kwa kumpoteza Mzee Ndugulile kigamboni.
Aseee nilkuwa nimelala hapa nimepigiwa simu na...
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza, nahitaji kusajili line ya lipa pesa, sijui ipi ni nzuri kwa ajili ya matumizi ya biashara.
Vodalipa
Airtellipa
Tigolipa
Nawasilisha
Na...
Jinsi Wewe Unavyoweza Kuanzisha Biashara yako pia!
Moja ya Changamoto ambayo Wajasiriamali wengi wamekuwa Wakipitia ni Jinsi ya Kuanzisha Biashara bila ya kuwa Mtaji.
Yaani…
Je kuna Njia...
Habarini wakuu,
Naomba msaada wa kuweza kuicustomize payment voucher(PV) kwenye mfumo wa online Quick Book kwa kuweka fields" prepared by,reviewed by na authorized by".
Natanguliza shukran kwa...
Nimekuja kuwapa madini kuhusu hii biashara
Biashara hii inalipa Sana, ndo maana wachina wanatoka kwao kuja kuinvest Tanzania
Firstly inahitajika mtaji mkubwa Sana na elimu ya kusimamia na...
Wakuu nawasalimu kwa Jina la JMT.
Kama kichwa cha Habari kinavyojieleza. Nimekuja humu ndani kupata ushauri wa Biashara ya Malori haya ya kubeba mizigo iwe ya Local ama Transit.
Kutokana na...
Wapendwa salaam! Amani ya Mungu baba muumba iwe juu yetu sote!
Jamani mwenzenu nilikuja humu ndani kuuliza biashara ya vyombo ila nasikitika sana sikufanikiwa katika biashara ile kwani nilipata...
Wakuu wana JF,
Kuna tetesi kuwa ukifungua fixed account ya 10Million ktk benk za Exim, CRDB, Posta bank, NBC limited au NMB, kwa kila baada ya miezi mitatu - inazaa faidi kati ya sh. 1.8 mill up...
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 26 taaluma yangu ni ufugaji samaki kiwango cha elimu ni Diploma (Diploma in Aquaculture Technology)
Nina uzoefu wa miaka 4 kwenye hii industry nimefanya kazi...
Habari Wakuu!
Ufugaji wa samaki ni utamaduni/maarifa mapya hivyo watu wengi wanastruggle sana kupata taarifa sahihi juu ya njia bora ya kufanya ufugaji wa samaki kibiashara
Mimi ni mtaalamu wa...
Wakuu naomba kuuliza anayejua bei ya mkaa wa mawe ( coal ) unapopatikana bei zake kwa tani na taratibu za kununua tujulishane.
Nahitaji kwa ajili ya matumizi ya kiwandani.
Kwa wale tuliozoea neno 'Tigopesa' na uhusiano wake na huduma inayopatikana ya 'Pesa' kwa njia ya mtaandao wa TIGO, mnaonaje matumizi ya neno jipya la 'Mixx by Yas' lisivyo na uhalisia/ufanani na...
Habari Wana JF ,
Naomba mawazo yenu, Nina mtaji wangu nataka nifungue saruni ya kike Mafinga mjini.
Je, Ni sehemu gani , au mitaa gani itanifaa kwa kazi hiyo?
Wakuu nina gari yangu imepaki nataka iniingizie pesa kwa kuifanya uber.
Naomba kwa mwenye ufahamu anifahamishe process yote mpaka gari inaingia barabarani.
Yani kama kuna vibali ni vipi? Kama...
Habari wanajukwaa
Mimi ni muajiriwa sehemu fulani, kutokana na changamoto za kazi nilitamani nijiajiri mwenyewe kupitia biashara ya udereva wa mtandao.
Naombeni ushauri wenu juu ya hii biashara...
Prof. Minzi na wengine!
Sijui kama waafrika kuna siku tuta endelea na kufanikiwa kama wenzetu wazungu, wahindi, wachina, waarabu, nk. We seem to be at the lowest thinking, intellectual and moral...
RUDISHIWA NAULI YAKO! Mteja wa Vodacom Tanzania Plc, Regina Mbalamwezi akirudishiwa nauli yake baada ya kukata tiketi ya basi kupitia M-Pesa kutoka Dar es Salaam Kwenda Morogoro wakati wa uzinduzi...
Uzi huu ni maalum kwa wapenzi wa kujifunza maswala ya biashara na uchumi kupitia kusoma vitabu
Hapa utatakiwa kutuma kitabu na unakielezea
Happy Reading 🎊
Napenda kudecrale interest, Binafsi nilikuwa mmoja wa watumiaji wa hii mikopo, Kwa mkopo wa 83,000 ndani ya miezi mitatu iliyopita, marejesho yalikuwa ni 93,000
Nimekopa kiasi hiki mara tatu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.