Habari wanaJF,
Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie...
Habari wana jf
Nina complain moja kutoka kwa rafiki yangu
familia ilipoteza baba mzazi na walikua wana mradi wa mashine ya kusaga nafaka iliyosajiliwa kwa jina la kibiashara na kulipa...
Wakuu habari!
Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya...
Rais Samia, amesema haiwezekani wageni kuingia nchini na kufanya biashara za machinga, huku akieleza kuwa vijana wetu (Kitanzania) watafanya nini? na kuagiza Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt...
mpo mnapiga story mtu anapita nayo
umeenda kuomba mkopo benki wanahitaji kuiona business plan wanapita nayo
umeenda kwenye kampuni kuuza wazo wanakuwahi
n.k.
Umeumiza kichwa kufanya uchunguzi wa...
Well,
Habari wakuu,
Nina kijiwe changu cha kuuza movies zilizotafsiriwa kiswahili na ma DJ wa bongo.
Sasa na struggle sana kupata movies aisee. Kuna mwamba ananiuziaga ila ananiuzia ghali sana...
Thamani ya ndege moja aina ya Skyleader 600 ambayo imetengenezwa nchini Tanzania, imetajwa kuwa ni zaidi ya Dola za kimarekani 220,000 sawa na shilingi milioni 500 za Kitanzania.
Gharama Thamani...
TANZANIA OIL AND GAS PROFESSIONALS ASSOCIATION(TOGPA)
RIPOTI YA MJADALA ULIO FANYIKA TAREHE 30/05/2018,
20:00 na kuendeleaa,
AGENDA YA KWANZA
ya 30/05/2018 kuanzia saa 20:00 na kuendelea...
Naomba nisaidiwe mawazo njinsi ya kuanzisha kiwanda cha kutegeneza misumari, gharama zake na mitambo ya kutegenezea inapo patikana ili ninunue nianze kazi.
Ndugu zangu nipo mahali ambapo sina mtu wa kumuazima pesa. Naombeni msaada ni app gani mzuri na haraka kwa mikopo na ya uhakika?
Ni mimi wako UWESUTANZANIA ✍️
Utangulizi:
Baada ya vita vya Pili vya dunia mataifa mengi ya Ulaya yalikuwa katika hali mbaya ya Uchumi, Wawakilishi wengi wa Mataifa haya ya Ulaya na dunia (Jumla Mataifa 44) walikutana Bretton...
Wakuu.
Nipo DSM nimeuza Nyumba ya urithi na kupata mgao wa mil 15 .
Naomba ushauri nifanye Biashara gani yenye low risk .
Niliwaza hizi Biashara
Money transactions
Duka la vipodozi ambalo...
Ithamini Sana Shillingi 100 Uipatayo: Uhalisia wa Maisha ya Kitanzania
Katika mazingira ya maisha ya Kitanzania, shilingi 100 inaweza kuonekana kama fedha ndogo, lakini ina umuhimu mkubwa...
Ifikapo mwaka 2030 Hadi 2035 vyombo vya usafiri vingi vitakuwa vinatumia UMEME hivyo utegemezi wa Kodi kupitia dizel na petrol kutakuwa si chanzo kizuri cha Kodi tena.
Na pia Serikali ipunguze...
Habari wapendwa, watanzania wenzangu
Naomba Leo kuja kwenye jukwaa hili la biashara uchumi na ujasiriamali nikiwa na mada inayohusiana na faida za uagizaji wa magari Toka nje ya nchi...
Habarii zenu wadau, kama mada inavyoeleza nahitaji kuanza biashara hiyo ya dagaa waliokaushwa na jua kutoka mwanza to dar, nahitaji soko lake kwa hapa dar na details zingine zitakazo nisaidia...
Habari wanajamvi,
Nimerudi tena baada ya kufika Morogoro salama. Treni iliondoka kwa wakati (saa 12:55) na kufika kwa wakati (saa 2:59). Nilichukua bajaji ya elfu 2, nikafika Msamvu nlikoacha...
Habari wanaJF,
Leo nimemaliza rasmi kazi yangu hapa Dar naelekea Moro. Mambo hayakuenda nlivyotarajia, lakini Inshallah, riziki ni ya Mwenyezi Mungu.
Baada ya kuachwa na treni miezi miwili...
Heri ya mwaka mpya wanajamvini[emoji7][emoji7]
Niende moja kwa moja kwenye point… nina 10m itaweza kutosha kuingia kkoo??
Mawazo ya biashara ni
1. Chupi na sidiria, night dresses
2. Cosmetics...
Habari wakuu.
Nimetumiwa pesa kupitia Sundus money exchange and transfer kupitia Taaj Services.
Sasa ninejaribu kuyatafuta haya makampuni mawili hapa Tanzania lakini sijafanikiwa.
Naomba msaada...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.