3 3500 Member Joined Jul 20, 2014 Posts 74 Reaction score 132 Feb 18, 2025 #1 Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar
Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar
3 3500 Member Joined Jul 20, 2014 Posts 74 Reaction score 132 Feb 19, 2025 Thread starter #2 Hakuna wnayejua wnayefanya how I biashara?
M muddy87 New Member Joined Mar 14, 2018 Posts 2 Reaction score 2 Feb 24, 2025 #3 0697667096/0696995590 namba hiyo hapo piga tuelewane kuhusu graphite
M muddy87 New Member Joined Mar 14, 2018 Posts 2 Reaction score 2 Feb 24, 2025 #4 3500 said: Hakuna wnayejua wnayefanya how I biashara? Click to expand... Piga 0697667096
Kyenju JF-Expert Member Joined Jun 16, 2012 Posts 5,335 Reaction score 2,899 Oct 30, 2026 #5 Graphite ina hatua nyingi za kiproccess, wewe unataka ya kiwango gani? Yaani %carbon
Siri yangu JF-Expert Member Joined Jul 22, 2023 Posts 2,252 Reaction score 4,839 Monday at 1:49 PM #6 3500 said: Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar Click to expand... Yupo dar anatafuta madini🤣🤣😂😂🫶
3500 said: Natafuta anayeuza madini ya graphite hapa TZ. Nataka anayeuza kwa kilo na sio kwa tani Ani pm namba yake. Mi nipo dar Click to expand... Yupo dar anatafuta madini🤣🤣😂😂🫶