Huu uzi ni matokeo ya utafiti nilioufanya kwa miaka zaidi ya 15,nilifatilia matukio mengi ya watu wanaodai kutajirika kwa nguvu za ngiza,nilisoma vitabu vingi,niliongea na ma guru wengi na mwisho...
vitabu vitano vitakavyobadilisha maisha yako totally! How you think, act and behave towards undertaking any business venture.
Hellow Ladies and Gentlemen. Hope you are excited as I am!!.. what a...
Habari zenu wakuu,
Experts wa mambo naombeni ushauri hapa. Nina 30mill, niko interested na kufungua Phamarcy/uwakala wa miamala ya pesa (simu na bank).
Je, biashara ipi itafaa na haitanihitaji...
Habari ndugu zangu naomba muongozo mwenye hakika na haya anijuze.
Nawaza kufungua ofisi ndogo ya kuwa wakala wa hudumu za kifedha kupitia mitandao ya simu,
Je, leseni ya biashara inapatikana kwa...
Wakuu nisaidieni soko kwa hapa Dar es Salaam, nina bidhaa malimao na maparachichi kutoka Moshi mazuri na ni makubwa. Nipo Mbezi kwa Msuguli 0673 106 409
Binafsi me ni msomi na Kwa Sasa nimejiajiri katika kilimo.
Kama kawaida kilimo Kuna kipindi tunapata Kuna kipindi hali inakuwa mbaya mno
Kuna fursa au taaluma zinalipa Kwa vijana, Ile kijana...
Habarini wana JF.
Baada ya kuwa kimya katika kipindi kirefu nimeona sio mbaya nije kushare mengi kuhusiana na hii field ili tuweze kukomboana kwa wale watavutiwa na hili hasa kwa mikoa yetu hapa...
Wapendwa kwema poleni na majukumu nimeona fulsa kidogo hapa kijijini kwetu.
Kakatika pitapita zangu nimeona fulsa ya ndizi huku kijijini kwetu nimeona zinapatana kwa wingi sana sasa kabla...
BAB KUBWAAAA!!! 2025 OFFER💥 HARUSI,SEND OFF PARTY,BAG PARTY & KITCHEN PARTY.
Book now get your Date.......
Huduma za MC,MUZIKI,MAIDS,CHAKULA na MAGARI ya HARUSI.
Karibu uhudumiwe nasi na...
Msaada jamanii,
Nataka kufungua library ila naitaji kujua mashine ipi nzuri kubwa, namaanisha full computer ambayo inauwezo mkubwa.
Pia naitaji kujua bei za CD kwa jumla pia na bei za protector...
Naombeni msaada jinsi ya kupata soko la viazi mviringo mkoan , Lakini pia gharama za usafirishaji kuja dar es salaam . Gharama zake zimekaaje . Naombeni msaada wa mawazo
Mnamo mwezi wa nne mwaka 2024, Kampuni ya kuchimba madini ya Barick walitoa barua kupitia wizara ya TAMISEMI kuwataarifu juu ya kufadhili ujenzi wa madarasa, mabweni na vyoo katika shule...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.