Moja kati ya sehemu ambazo Kwasasa zina fursa Kibao ambazo zinaweza kukufanya ukatoboa.
.
BILA Hata kusota Wa kuteseka.
Ni pamoja na Financial Market 🇹🇿
.
Na Good News...
.
ni Kwamba Kwasasa...
Habari wana jamvi?
Natumai mu wazima wa afya.
Leo nina swali ambalo naamini likijibiwa hapa nitakuwa nimefumbuliwa macho ya fikra, pia watu wengi watakuwa wamefumbuliwa.
Swali: Ni vigezo gani...
Mitaa yetu ina giza nene totoro na vibaka wengi sana, na wakati mwingine hakuna umeme kabisa.
Ni jambo jema sana biashara kariakoo masaa 24, itasaidia kuchechemua uchumi wa watu, familia, jiji na...
Ni wazi kwamba kipindi hiki cha Mfungo wa Ramadhani biashara ya kitimoto imedorora. Jana na leo bucha nyingi hazina wateja kabisa, nyama zimenin'g'inia tu bila mnunuzi. Hali hii inatufanya sisi...
TANZANIA NA CANADA KUSHIRIKIANA KWENYE KUKUZA UJUZI WA WADAU SEKTA YA MADINI
▪️Watanzania kujengewa uwezo kwenye teknolojia ya uchimbaji na uchenjuaji madini
▪️Vyuo vya VETA kutumika kutoa...
Ni skill ipi yenye kipato kirefu naweza kujifunza ndani miezi sita nikajifunza na kuanza kufanyia kazi kwa miaka ya hii ya sasa.
Naomba iwe ni progressive skill yaani ikifika 2030 niwe niwe...
Wanajamii,
Najua zote ni best ideas:
●Hardware ya vifaa vidogo vidogo vya ujenzi
●Pharamcy ya kisasa
■LOCATION: Miji mikubwa au miji inayokuwa kwa kasi. Katika maeneo yaliyokuwa na movement...
Utangulizi
Baada ya kukopa mkopo wa biashara kutoka CRDB, nimejikuta katika hali ngumu sana. Sijawahi kufikiria kwamba mkopo unaweza kuathiri maisha yangu kwa namna hii.
Kila usiku...
kipi ni bora kwa uwekezaji TANZANIA kati ya kuwekeza katika biashara ya nyumba au kuwekeza katika mfuko wa hifadhi wa UTT??
Let's say una milion 30 ni bora ujengee nyumba in which utapata kodi...
Habari za jukumu wakuu
Ili nisiwachoshe naomba niandike kwa ufupi, hiki ambacho nimeona ni vyema kuwashirikisha
Kiasili asilimia 96% ya nchi ya Misri ni jangwa hali inayopelekea Misri kukumbwa...
Wakuu habari za Kazi,
Hii kitu inaitwa Pi network kwa wanaoifahamu au kuifuatilia mnaionaje ni kweli itakuja kuipikua Bitcoin au ni Mbwebwe tu maana naifuatilia project yake iko Serious Sana...
Kuna watu wakienda sokoni wanajikuta wananunua bidhaa nyingine (nyingi) ambazo hawakupanga kununua, hayo ni matumizi mabaya ya pesa. Zifuatazo ni kanuni kuu mbili za kwenda kununua bidhaa sokoni...
biashara nyingi zinahitaji frem..sio zote ila nyingi....na sio frem tu...ni frem iliyo location muhimu..sio iliyojificha ficha...
kuna frem inapangishwa
SIFA ZA HII FREM
**frem iko barabarani...
Habari wakuu!
Ukiona fursa ni vyema kushare na wenzako. Kuna kijiji nipo katika wilaya ya Handeni kuna fursa kibao sana! Moja wapo ya biashara ya grocery. Kama una mtaji wa kufungua grocery...
▪️Awasilisha mpango wa Mining Vision 2030
▪️Serikali yajipanga kuongeza eneo kubwa zaidi lililofanyiea Utafiti wa Madini wa kina
▪️Kampuni za Utafiti Madini zakaribishwa Tanzania
▪️Aelekeza...
*Yasema matumizi ya bando ni nafuu na yanaondoa usumbufu
*Yaipongeza NSSF kwa kuweka mifumo katika Daraja hilo
Na MWANDISHI WETU,
Dar es Salaam. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo...
Nipo zangu katika Site ya ujenzi ,Kuna wazo la Uwekezaji mdogo limenijia.
Kwa wale wanaopokea mshahara wa kuanzia 250,000 hadi 450,000
Ambao hawapati nafasi ya kufanya biashara nje ya kazi yao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.