Ujio wa Hizi huduma za kifedha kupitia simu za Mikononi ukiacha kurahisisha uchukuaji, utumaji, uhifadhi na uwekaji wa Fedha, pia umetengeneza Ajira kwa watu wengi tu ambao labda kabla yake...
wadau, this is good news kwa wote amabao ni wafanyabiashara na kwa aslimia kubwa biashara zao zipo dar es salaam, Je unahitaji kua boosted financially? ili kukidhi mahitaji yako ya kibiashara or...
ahsanteni sana wanajf mimi ninahitaji kuingia katika biashara hii ya ufugaji wa kuku hasa hawa wa kienyeji nimekamilisha kila litu ikiwemo kutengeneza banda na utaalam wa kisasa ila kwa bahati...
Samahani, kwa wazoefu wa mambo haya ya magari naomba mnisaidie, nahitaji kuwa na angalau kiasi gani kupata gari (used) zuri la kutembelea lenye gharama nafuu za uendeshaji pia?
Heshima kwenu wadau,
Ningependa kufahamu soko la hisa inapofika mwaka wa uchaguzi huwa linakuwa lina hali gani? huwa lina panda au huwa lina shuka. Kama huwa lina panda ni kwanini na kama huwa...
Lg optimus l713 4 gb internal android 4.1.2 update to android 4.4.2 camera 8 mp with secondary camera. For the best price. 190,000 find me up here +255765838708
MWAJILIWA NI MTUMWA WA PESA! JE NINI CHA KUFANYA KUONGEZA KIPATO CHAKO?
Ndg zangu ukitaka kuongeza kipato chako kila mwezi lazima utambue kwa thamani ya muda wako katika kuitafuta pesa. Ukisha...
Habari wakuu. Naombeni ushauri ktk hili
Nina options mbili, either kununua kiwanja au kufungua mradi kidogo miezi michache ijayo. Vyote ni vya muhimu na siwezi kuvifanya kwa pamoja maana...
Miradi mikubwa miwili chini ya NSSF yenye thamani ya mamilioni ya dola za marekani, imeiweka juu NSSF kwa kuthubutu na kutekeleza kile ilichodhamiria katika mipango yake!
Angalizo; ceteris...
Ukifuatilia kwa karibu utaundua viongoi wengi hasa wa serikali wapo bize sana na mambo ya kitaifa,kikanda& kimataifa hivyo si rahisi kukumbuka mambo ya SALOON, vijana tuchangamkie fursa hii...
Jaman nna shamba langu huko rufiji kata ya kitembo,sasa nlikuwa naomba kama kuna surveyor humu ndan akansaidie kupima nsije nkawa nmenunua eneo la makaburi.....!!!
Jamani wana Great thinkers, Mimi nimejaribu kufanya research yangu binafsi ya biashara na kugundua sehemu ninayoishi biashara ya mikate inalipa sana kwani huwa inafuatwa mbali ili ije kuizwa hapa...
Nimeiona hii sehemu nafikiri sio mbaya nikiileta hapa kwa sisi wafanyabiashara ambao usimamizi ni mdogo kutokana na majukumu mengine
System ya Candela ambayo inatumia alama maalum za kutambua...
NJIA ZA KUKUTOA KATIKA KIFUNGO CHA UMASKINI.
Habari za leo ndugu msomaji wangu. Nisiku nyingine tena tunakutana apa kwa lengo la kuelimishana na kuabalishana ili tuweze kuakikisha tunamtokomeza...
Habari zenu wakuu.
Natumai mnaendelea vyema na harakati za kusukuma gurudumu la maisha.
Wakuu kuna watu humu wana pesa hawana idea nzuri za biashara,na kuna wengine wana idea nzuri lakini hawana...
NUNDOS INVESTMENT AND CLEANING SOLUTION LIMITED:,
Ni kampuni iliyosajiliwa na uzoefu wa kutosha katika huduma za usafi katika maeneo mbalimbali kama
>ofisini >nyumbani >hospitalin >hotelin na...
BIASHARA ya Mtandao ni njia ya kisasa
ya usambazaji wa bidhaa kutoka
kiwandani hadi kumfikia mteja au
mtumiaji moja kwa moja. Hivyo,
kiwanda kinazalisha bidhaa tu. Halafu
kuna mtu mmoja tu ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.