At 44.3 per cent, Tanzanias performance in tax collection in the East African region has been rated best for this year, surpassing all its neighbours and a number of other African countries...
Wadau habari za jioni
Nimeomba mkopo NMB tawi moja la mkoa wa kilimanjaro..nikapewa form na kukamilisha taratibu zote ndani ya siku mbili na kurudisha form tar 15/Nov na yule loan officer...
Habari zenu wakuu? Poleni na majukumu na mihangaiko ya kila kukicha,mimi ni kijana mwenzenu ambaye ni mkulima wa zao la vitunguu na pia nafanya biashara ya kuuza na kununua zao hilo,nimekuwa...
wanajamvi pole na kazi. kwa wajuvi wa mambo ya usajili wa kampuni naomba kufahamisha je kuna advantage yoyote ya kusajili kampuni kama sole proprietor au limited company katika masuala yafuatayo...
Meli ya mv victoria ambayo hufanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba sasa ina wiki nzima haijafanya trip yoyote. Inasemekana moja ya engine yake ni mbovu na alhamisi iliyopita ilibidi abiria...
Tafadhali wandugu tusaidiane kukokotoa mahesabu ya mshahara hapo chini kama yapo sawa. Ni mojawapo wa mishahara katika chuo fulani jijini Dar.
Basic salary 2,160,000.00
House Allowance 216,000.00...
Scenario iko hivi tuchukulie Subash Patel ana nyumba kariakoo ambayo inayo title anatafuta mtu wa kufanya naye JV
Anatokea bwana Mwambulukutu anasema kuwa anaweza kupata finance ya kujenga kwa...
Ni wachache sana wanaoweza kutoa siri zao jinsi walivyoweza kupata mafanikio. Maisha ya siku hizi unatakiwa uwe kama mwanajeshi ambaye yuko vitani, kwa hiyo umakini, nidhamu, mikakati, uvumilivu...
Natumaini wote wazima,mimi ni muuzaji wa kuku wa kienyeji toka Singida na Dodoma na naifanyia biashara hiyo Dodoma kwa sasa. Natamani biashara yangu niilete Dar Es Salaam na tatizo sina soko...
Nimechukua fremu ya biashara maeneo ya kimara lakini umeme una madeni na migogoro ,sasa mwenye nyumba amenishauri niweke LUKU yangu sasa naomba kujua gharama za kununua meter na kuweka ni silingi...
A renewed plunge in oil prices is a worrying sign of weakness in the global economy that could shake governments dependent on oil revenues. It is also a panacea as pump prices fall, giving...
Habari,
Nahitaji kujua kushona aina mbalimbali za mavazi.
Je, ni njia ipi bora ya kujifunza kwa mtu au kwenye chuo cha tailoring? Na please kwa anaefahamu kuhusu vyuo bora vya mafunzo hayo...
Mabalozi wa DSE kwenye kampeni ya wekeza inalipa kutoka kushoto ni Slim Omary, Rose Ndauka,
Yobneshi Yussuph aka Batuli na mwisho kabisa ni Richie Mtambalike.
Richie Mtambalike...
Nimepigwa pesa katika benki ya NBC , Jmosi niliweka kama 1.7m tawi la NBC DODOMA, kwenda kuchukua pesa benki jtatu nikakuta nimepigwa 1.5m kupitia NBC tawi la Tegata kwa kutumia ATM card yangu...
A jobless man applied for the position of 'office boy' at Microsoft. The HR manager interviewed him, then gave him a test: clean the floor. The man passed the test with flying colors.
"You are...
Habari wakuu.
Hembu nipeni njia ya hawa Majembe jinsi wanavyofanya kazi.
Kuna gari zangu Carry zimo kwenye biashara.
Niliwahi kwenda TRA na Halmashauri kuhusu kuomba vibali wakaniambia...
Salaam Wakuu,
Nafurahi kupata pahala kama hapa, ambamo tunapata Maarifa.
Niko kwenye initial stages za kufungua Microfinance, Nina mtaji wa wastani. Nataka ni -deal zaidi na wakopaji wadogo...
Mimi ni mhandisi wa ujenzi (Civil Engineer), ambaye nimekuwa katika fani hii kwa miaka ipatayo kumi hivi. Katika kipindi chote hiki, sijaona kampuni ya kitanzania iliyoweza kupata mafanikio na...