Nahitaji msaada wa majibu ya maswali yafuatayo;
1.Je ni kweli kuwa siwezi kudraw zaidi ya mil 10 cash kwenye personal account?
2. Kuna kiwango ambacho nikidraw kwenye personal account nahitajika...
Habari wana jf. Tafadhali naomba msaada wa ushauri. Ni kiasi gani cha pesa naweza kuanzia kama mtaji katika biashara ya kukopesha pesa kwa wafanya biashara wadogo, na je ni process gani za kufuata...
hata wewe unayedhani huwezi tapeliwa be warned; matapeli wako wengi sana, na sio lazima uwe unataka cha urahisi, bali kuna wakati inatokea katika situation ya kawaida tu maishani.
Mara nyingi watu wamekuwa wakiuliza ni biashara gani inalipa ambayo wanaweza kufanya na wakapata mafanikio. Jibu la uhakika ni kwamba kila biashara inalipa.
Hata baada ya kujua biashara...
Wasalam wana bodi;
Kuna wazo ninalo, niina mpango wa kuuza viatu vya mtumba kwa kutumia baskeli, mfano Kama wa zile za Azam wanazouziaga Ice cream.
Ipo hivi;
Nataka kuunda baskeli kwa mfumo...
Habari wana JF,
Mimi na mjumbe mwenzenu wa humu ndani,, Nimepata wazo la kufanya biashara ya simu na hivi karibuni nataka niende China kutafuta simu ambazo nitaweza kuja kuziuza hapa nchini...
Mimi ni kijana nina umri wa miaka 22 nina kiasi hicho cha pesa mkononi naombeni kuuliza nifany biashara gani ili pesa yangu izalishe elimu yang ni diploma ya IT pia nina nina computer 2 zeny spesc...
Wanajamv habari,
Naskia ukitka kupata suruali(kadeti) kali naambiwa mtumbani zipo nguo kali sana na durable.
Sasa hebu nijuzeni wapi naweza pata kadeti za grade 1 zilizo kali zenye bei reasonable
We provide efficent software solutions, easy to use,scalable enough to take your business next level.
View our portfolio Olcomlabs (T) - Software Development | Mobile Development Tanzania, Data...
Heshima kwenu wakuu,
1.Naomba kujua kwa mtu mwenye kuelewa gharama za kununua mitambo midogo ya kukoboa na kusaga nafaka hasa mahindi.nk.
2.Gharama za uendeshaji wa mitambo n.k.
ASANTEN
Wakuu nimejaribu kupitia mada mbalimbali kuhusu biashara hii ya kukodisha magari hapa jamii forum lkn hakuna mada hata moja yenye ushauri uliojitosheleza,Kitu nachotaka kujua zaidi kwa wale...
Habari wana jamii forum,Ni hv mfano mm naagiza gari kutoka Japan then nataka nishushie Dar es salaam halafu nisajilie malawi yaani bongo zipite kama IT,je kuna gharama ambazo nitatakiwa nilipie...
Habari wakuu!,Ni hv naomba kwa wale wenye uzoefu wa kuingiza Engine Used nchini,Hasa nahitaji kujua mambo haya;
1;Ni nchi gani hasa engine zipo cheap Japan au Dubai?
2:Kila Engine inagharimu...
Habari wakuu.
Nyumba hii ipo maeneo ya sinza kijiweni ni dk 1 kutoka barabarani (hayo ni makadirio ya juu), ipo mkabala na Habari House. Nyumba ina documents zote za kiserikali. Kwa sasa nyumba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.