Nawezaje kupata mkopo wa laki 6 kwa kuweka dhamana ya title ya kiwanja changu kimepimwa na serikali kipo Mkuranga...
Nitalipa hiyo pesa kwa muda wa miezi 7
Kwa wale wanaojua au ni wazoefu wa biashara hii ya kununua magari yaliyopata Ajali na yale mabovu naomba tu share Idea,Nataka kujua mtaji pia njinsi ya manunuzi ili upate faida hasa hasa gari ziwe...
"Driving to Ifakara from Singida North this afternoon where I hosted an Irish Volunteer team to inaugurate 2 completed water projects at Malolo and Sokoine villages. Each project included a deep...
Habari ndugu wanajukwaa,hivi Benki wanatumia formula gani ktk ukopesdaji kwa watumishi?maana kila nikitumia ile formula ya I=PRT/100 mahesabu yanakuja tofauti
Habarini,
Hili ni Wazo ninaloona laweza kuwafaa vijana wengi hasa wahitimu wanaosubiri kupata ajira na hasa wenye uelewe na ICT na uwezo wa kuongea na watu vizuri.
- tengeneza business cards...
Habari GTs,
lifuatalo ni miongoni mwa mawazo kadhaa ninayoyafikiriaga mara kwa mara, hivyo nikawiwa kushare na wanajukwaa nikitumaini pengine kuna watakaoweza kunufaika nalo.
- chukulia...
Vyumba viwili na sebule choo cha nje,haina jiko.Ipo Parestina nyuma ya mwika bar ni nyumba ya pili toka barabarani.Kodi ni 200000 ilipwe kwa miezi 4 anarudishiwa mpangaji kodi yke amehamishiwa...
FURSA NJEMA KWA KILA MTANZANIA.
HUU NI UKUMBUSHO Kwa Wale wote waliopata Tili zao za Vodacom Mpesa na wapo chini ya kampuni yetu.
Ndugu Wakala tunawapongeza kwa uvumilivu wenu na hatimaye...
My friends, our shilling has continued its depreciation trend and has today hit a 3 year low of 1745! This is a depreciation of 145 shillings since the start of the year. So friends no respite...
For all who need an accounting package/software for a reasonable price and easy to use please contact me.
The accounting package as the following features:
Purchase Orders
Goods Receivable...
Ama kweli wahenga walisema adui yako muombee njaa. Escrow account sasa ya sababisha kupanda kwa bei ya pesa za kigeni na kuonyesha shahili dhahili madhaifu ya serikari katika kujenga uchumi...
Habari zenu, wakubwa shkamoo wadogo mambo? Binafsi nimepata pesa kidogo baada ya kuhangaika sana mtaani nafikiria nianze biashara ya hiace.
Kwa vile mi mwalimu naimani ntaweza kuifatilia vizuri...
Heshima kwenu ndugu zangu,,
nimiaka mitano sasa nilihifadhi dola 200 za marekani,sasa nilipata elimu kidogo juu ya hisa(haikunitosheleza),sasa naomba ushauri nizibadishe hizi fedha kuwa za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.