Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu, Kuna msiba mkubwa mno kwa hawa wafugaji wa kuku wa mayai ya kisasa, takribani mwezi sasa mayai yamefurika mji mzima - hakuna soko kabisa. Imefikia hatua sasa mayai yanaanza kuharibika kwa...
4 Reactions
99 Replies
18K Views
Ulimwengu wa sasa umebadilika tofauti na miaka kadhaa iliyopita. Teknolojia ya mawasiliano imekua kwa kiasi kikubwa, kinachosababisha urahisi wa kupata taarifa kwa urahisi na haraka. Huduma ya...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Features: -Exellent 5mp camera. -Front camera -Whatsapp -3G Battery life. Offline: 2days Online: 16 hours * VERY GOOD BATTERY. * Charger available *VERY GOOD CONDITION!! Sababu ya...
0 Reactions
0 Replies
741 Views
Features: -Exellent 5mp camera. -Front camera -Whatsapp -3G Battery life. Offline: 2days Online: 16 hours * VERY GOOD BATTERY. * Charger available Sababu ya kuuza: nahitaji...
0 Reactions
0 Replies
671 Views
Mohammed Dewji is the third generation of a family of successful Tanzanian entrepreneurs. Over the past decade, as CEO he has grown his family's business from a national trading house to a...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hello, natumaini wengi wetu tuko na amani, tuko salama, Pole kwa wagonjwa wote popote Tanzania na nje pia!! Nataka kusema kidogo sana juu ya kwanini Consultancy firm zipo. Nazungumzia kampuni au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu. Bei ya mafuta imeshuka kwa kiasi kikubwa kwenye soko la dunia. Kwa kawaida bei ikishuka huchukua muda kuleta mabadiliko hapa nchini. Lkn ikipanda tu utasikia kesho na wanapandisha. Na hivi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ndugu wana jamii naomba msaada kwa mtu mwenye utalaamu au aidia kuhusiana na aina yoyote ya mashine za kuchimba visima ambayo inafaa kibiashara kwa ajili ya kuwachimbia watu kama biashara yenye...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Tar 11, November 2014 kutakuwa na mkutano unahusisha sherehe za uzinduzi wa kampuni ya Kimataifa ya Trevo na kutoa fursa ya biashara kwa watakaopenda kufanya biashara na kampuni. Kampuni inaitwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hbari zenu ndugu zangu. Nilihamasika juzi kati nikapost bidhaa yangu huko Alibaba. Sasa suala ni kuwa nimepata prospective client anataka mzigo huo lakini kwa kiwango kikubwa kuliko hata uwezo...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari za saa hizi wanajamii wenzangu, naomba kuuliza kama kuna yoyote anayejua zinapopatikana materials za mckenzie,ninachomaanisha zinakotoka coz najua Kariakoo na pale mtaa wa Kitumbini hizi...
0 Reactions
0 Replies
841 Views
Habari wakuu, Naomba kuuliza hivi, nitumie kifaa gani kugundua madini chini ya ardhi?
0 Reactions
12 Replies
14K Views
Wadau, Mimi bado ni mchanga au mgeni katika biashara ya real estate. Sasa hivi nipo katika sekta ya ajira serikalini, ila ningependa siku moja kuacha kazi za kuajiriwa na kujiairi mwenyewe...
3 Reactions
62 Replies
14K Views
Hivi kwa mfano nimenunua shares za kampuni kama Apple au Microsoft au GE, Leo jumatatu, na nimespend dola 10,000 Kisha baada ya mwezi thamani zimepanda sana na value yake ni dola 100,000 Je...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Kupitia uzi huu tujadili uchumi wetu Wa Tanzania, Kwa kuazia kabisa naomba wananchi wenye upeo wa hali ya juu, ili kuiwezesha mada kama hii kuwa tamu na nzuri, 1,Naomba kufahamishwa, ni wilaya...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Shaka sina wana Jamiiforums mko poa! Naomba kujuzwa gharama ya kuanzisha saloon ya kiume!
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Construction of the facility is slated to start January next year according to Kenya Airports Authority (KAA) managing director Lucy Mbugua. The African Development Bank (AfDB) has been selected...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
WanaJM napenda kujiunga na Internet banking ..mimi ni Mteja wa CRDB naomba kwa mwenye ujuzi na hili anitoe GIzan.
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Natumaini wote hamjambo, mimi pia sijambo, Tumshukuru Mungu. Wadau nafikiria kufanya biashara ya Tigopesa na M-pesa, nataka kujua mtaji wa biashara hii, changamoto na faida ya biashara hii, eneo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kama walivyo wamiliki wengi wa biashara ndogo au za kawaida, unaweza kudhani biashara yako haitafaidika ikiwa utaiweka kwenye website/tovuti au unafikiri ni gharama sana kumiliki website. Au...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom