Wakuu habari za biashara,
Naomba kujua kama nina dola elfu kumi ni bidhaa zipi naweza kupeleka Tanzania kutokea China kwa njia yoyote ni sawa hata kwa ndege.
Kiwango cha faida nahitaji kama...
Msaada kwenu wakubwa kama mnaweza kunipa uelewa kidogo juu ya biashara hii ya computer accessories pamoja na phone accessories.
Ntashukuru kama mtanisaidia sana wakubwa!
KWA NINI TAX CONSULTANTS WATEULIWE/KUPEWA LESENI NA TRA ILI KUWATETEA TAX PAYER ?
Wakuu natumaini muko salama, naomba ushauri wenu kuhusu utaratibu huu ulivyokaa ,
Kumekuwepo na...
Habari Jamiiforums,
Natamani kujiingiza mzimamzima kwenye hii issue ya share(hisa). Naomba ushauri wenu kwa wajuzi wa mambo me nataka base sana online shares.
Hivi ni website / mtandao upi ni...
Nimehamia katika mji flani ambao kwa sasa ni makao makuu ya wilaya. katika kuangalia biashara gani naweza kuifanya nimepata wazo la kuanzisha chekechea kwa kuanzia na baadae daycare kwani hakuna...
Watanzania tumefika mahali kazi za usafi wa nyumbani zinafanywa na foreigners, nimejiuliza yafuatayo:-
1) Inamaana watanzania wamejitosheleza hawahitaji kufanya kazi za nyumbani (kielimu na...
Wadau
Nimetoka Jimboni kufanya Survey ya jinsi ya kuzungukia Kata zote mwakani.
Kwa kweli nahitaji Hard Top maana Kata zipo Milimani sana na ili kulitoa Gamba sina budi kuweka kambi na...
Wadau wapi ntapata kati ya 10m-15m nikalime. Nina kiwanja chenye hati kama collateral pia nina mkataba wa kazi ambao huwa na urinew kila baada ya mwaka.
Mkataba huo una thamani ya 1m kwa mwezi...
Habari zenu wana jf,natafuta mtu wa kufanya nae biashara nimemaliza chuo mwaka huu, wakati nasoma nilikuwa na kibanda changu cha kupiga picha za kawaida, passport size,video shooting kwenye...
Pals habari zenu,
Nahitaji nianze kuuza nguo za mitumba. Je, ni sehemu gani wanauza mabaloo mchanganyiko ambayo ni mizuri na bei yake inaridhisha?
Nipo Dar
Wana-JF natumai mko poa,
Please naombeni msaada wenu juu ya kusafirisha/ kuingiza cement ya pakistan. Kwa kuanzia naombeni mnisaidie mambo yafuatayo;
I) Ni kampuni gani maarufu inayoaminika kwa...
THURSDAY, NOVEMBER 6, 2014Kenya says railway deal based on need, not meant to isolate Tanzania
Print
A sample of a standard gauge railway. The government says its decision to involve Uganda...
Kwa Mujibu wa sheria ya makampuni ya mwaka 2002, vifungu vya 128, 132 na 438 kila kampuni iliyosajiliwa Tanzania inawajibika kupeleka taarifa za mwaka ikiwa ni pamoja na taarifa za mahesabu...
Jamani mimi huwa nawashangaa viongozi wafugaji hasa wa kanda ya kaskazini na kanda ya ziwa. Enzi za mwalimu kulikuwa na viwanda vya nyama, viwanda vya maziwa na viwanda vya ngozi na viwanda vya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.