Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wana jf heshima kwenu. Naomba kuuliza ili kuondoa hofu/au kupata uhakika na sakata linaloendelea ndani ya NBC. Sie walala hoi tuliohifadhi vijisenti vyetu huko NBC hatupati usingizi tunaweweseka...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Corporate News Investors set up floating restaurant on L Victoria Share Bookmark Print Rating Passengers enjoy a ride on MV Kipepeo on lake...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nahitaji mtu anayejua kutengeneza makabati ya maduka ya dawa yanayohamishika, sijapena kununua yale ya kichina, nataka ya mbao za kibongo. nilisikia prison/magereza, au veta. mwenye ujuzi naomba...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
LG Electronics has confirmed that it will end production of plasma TVs by the end of November, following a similar announcement by rival Samsung earlier this summer. Reuters reports that a...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Msaada wazee nataka kufanya biashara kupitia alibaba.com naomba kujua ambao walishawahi na experience yao kwenye hii online thing na je jamaa ni waaminifu na bidhaaa ni bora ...kama unavyoona...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
DAR ES SALAAM, Oct 11 (Reuters) Tanzania has granted a licence to Vietnam-based telecoms operator Viettel to build a third-generation (3G) mobile phone network in the east African country, a...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa wazoefu na wataalam wa magari naombeni ushauri wenu. Sina uzoefu wowote kuhusu magari ila nahitaji kununua gari kwa ajili ya matumizi binafsi na nimepata muuzaji mmoja anataka niuzia Honda...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu za mchana!Nilikuwa naomba ushauri kuhusu biashara ya taxi hapa downtown, Kodi zake,rehabilitation,hesabu kwa wiki na je inalipa naomba msaada wenu!
0 Reactions
2 Replies
4K Views
KAMPUNI ya URSUS ya kutengeneza matrekta ya kutoka Poland, imeonesha nia ya kuja kuwekeza Tanzania na iko tayari kushirikiana na kampuni ya SUMA JKT kutengeneza matrekta hayo. Hayo yalisemwa na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Greetings, I often hear how difficult is for Farmers in Tanzania, but what exactly are the really challenges that Farmers are encountering? Where main problems that they are struggling with...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa yeyote mwenye taarifa, Wakuu naomba kuelekezwa nikitaka kuwa agent wa kuuza matrekta huku vijijini (mikoa ya Shinyanga na Simiyu) natakiwa kuanzia wapi? Sasa hivi kuna mwamko wa wakulima...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ukiangalia hii nchi, mambo ya kiuchumi yanaenda ovyo sana. Shilingi inazidi kushuka thamani, leo ni 1680 TSHS kwa DOla moja ya Marekani Kilimo Kwanza imekuwa ni kelele tu na kuwapa...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Yale maji ya Kilimanjaro ambayo hapo awali yalijizolea sifa kwa ubora, sasa hivi inasikitisha sana kwa jinsi walivyoamua kuachana na njia zilizoyafanya yakawa na ubora wa juu kuliko washindani wao...
4 Reactions
12 Replies
5K Views
Wataalamu wa biashara mliomo jamvini naombeni mchango wenu wa mawazo. Nina tafuta kujua ni benki gani hapa Tanzania inayotoa mkopo kwa ajiri ya kununulia vifaa na mitambo ya ujenzi (movable...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa ufupi Kinachoonekana ni kwamba ufuta unakua na kukomaa kwa haraka kuliko korosho Limekuwa ni jambo la kawaida sasa kwamba kati ya Novemba na Mei, mamia ya wakulima katika Wilaya ya Tandahimba...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nakaribisha yeyote mwenye nia na uwezo wa kuwekeza Tshs 15m katika biashara hai, halali na endelevu. Ni biashara iliyo na mkataba wa miezi 12, inazalisha faida ghafi ya tshs 8.4m kwa mwezi, ama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hello. Nahitaji business partner kwenye microfinance yangu ambayo imeshaanza kazi ya kukopesha wajasiriamali wadogo wadogo. Mahitaji ya wajasiriamali kwa ajili ya mkopo yamekuwa makubwa sana...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja ya wajasiriamali waliofanikiwa zaidi Duniani ametimiza miaka 59 siku ya leo. Katika kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa kuna mambo mengi ya kujifunza labda kwa machache. 1. Mafanikio...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Naomba mtu anayeweza kunikopesha sh 250,000 kwa lak 350,000 namrudishia mwisho wa mwez wa 1 tafadhal jaman ninashida
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Back
Top Bottom