Wakuu habari zenu,
Mi ni muajiriwa wa kampuni binafsi.Nataka niache kazi nijikite kwenye biashara, ila mtaji wangu ni milioni saba.Naomba ushauri wenu, ni biashara gani naweza kufanya, na...
Here looking for business partner, I have realize opportunity in Kampala Uganda, any one with business character from the mentioned, make a private message as we can work for the deal.
Wakuu kuna mdogo wangu ana uzoefu na mambo ya IT. Juzi juzi alinishirikisha wazo lake la ubunifu lakini linafaa sana kuwa implemented na makampuni yanayotengeza simu kama nokia, samsung n.k...
Hii ni kwa wale entrepreneurs au wanaotaka kuwa entrepreneurs (wajasiliamali)
Naomba nishare na nyie link ya course ya kujifunza how to build a startups by Steve Blank kutoka Sillicon Valley...
Wakuu, msaada tafadhari!
Ninatafuta Bank inayotoa huduma zifuatazo:
1. Online services - kuangalia salio, kuweza kufanya transfer ya pesa kwa mtu mwenye akaunti etc
2. VISA/Master Cards...
Get your advertisement blasted from 5 to 11 channels OneBiz-Stream, Wordpress, Blogger, Tumblr, Facebook, Twitter, LinkedIn, VK, Tumblr Socialfeed and Delicious at affordable monthly fee. You also...
Habarini wakuu, Nandika ujumbe huu kwa Vijana Graduates ambao walipata mafunzo ya kitaalamu ya namna ya kuendeshea biashara etc pia baadhi yao kupata either loans or grants kutoka mabenki...
Rejea Kichwa cha topic hii : I need an investment consultant
Industry: Real estate
Type of Project: Development of Serviced Apartments or 'Apart Hotel'
Location of the project : Arusha city...
Kwa wale wenye kuhitaji mashamba yenye ardhi mpyaa(virgin land),
haijawahi kulimwa chochote.
Au wajariamali wanaotaka mapori ya kuanzisha shule za bweni au viwanda.
Basi wawasiliane nami watapata...
Bila shaka tunategemea na kumekuwepo na mabadiliko kadhaa ya sector hii ya usafiri Dar, sisi kama wadau wa hii huduma tungependa kuelewa nini taratitu/mwelekeo/Policy/Vision ya SUMATRA katika...
I'm underway to launch a site for online shopping. I'm looking for Gateway works with Tanzania. I know 2Checkout does it, but their charges per transaction is high and level of support is poor...
Print | Close this window
Tanzania signs investment deals with China worth over $1.7 bln
Fri Oct 24, 2014 2:23pm GMT
DAR ES SALAAM (Reuters) - Tanzania and China have signed investment deals to...
Mimi ni ndugu wa mmiliki wa hivyo viwanja vilivyopo KILOMO-BAGAMOYO;
(1)35kwa35+jengo ambalo halijaisha(shilingi milion40-35)
(2)35kwa35(shilingi milion4.5-milion3.5)
(3)25kwa25(shilingi...
Nina mtaji wa kuendesha kituo cha kuuza chips na vinywaji baridi,nahitaji kijana atafute eneo zuri kibiashara.tuingie joint venture.vifaa vyote nitanunua mimi mchamgo wako ni ubunifu wa eneo...
PROJECT PROFILES FOR PROJECTS THAT ARE LOOKING FOR VENTURE CAPITAL AND PRIVATE EQUITY INVESTMENT FINANCING ARE EXPECTED TO BE AVAILABLE DURING THE CONFERENCE DAYS FROM THE FLOOWING SECTORS:-
...
Habari zenu wana jamii,
Kuna swala nakutana nalo kila siku. Wafanyabiashara wengi wanadhani ya kwamba wakianza kutumia mashine wanakatwa kodi 18%. Jambo hili sio hapa Dar tu, hata mikoani...
Print | Close this window
Tanzania talks with Total, BP on hydrocarbon explorationSat Oct 25, 2014 8:06am GMT
DAR ES SALAAM Oct 25 (Reuters) - Tanzania has held talks with France's Total and...
Siku ya leo hapa Dar es salaam kuna vitu vya ajabu sana vinafanyika kuna watu wa TRA/WAKALA wao wanakamata kila mzigo unapoita barabarani na kudai Risit ya mauzo!!! hadi imekuwa kero.....
Mzigo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.