Salaam wanajamvi!! Naomba tuchangie mawazo katika hili:
Kumekuwa na hii dhana kuwa namna ya kuwasaidia wakulima ni kuhakikisha wanauza mazao yao kwa bei ya juu miongoni mwa namna zingine...
Wakuu naomba ushauri....
Mwenzenu mshahara wangu take home ni 800 000/-, nataka kukopa CRDB kama Ths 10 million hivi ili ninunue kiwanja, siewezi kukopa nje ya CRDB maana hapa kazini wana mkataba...
Hello wadau,
Nina uhitaji wa mkopo wa fasta SH 1.8 M (Milioni moja na laki nane), riba isizidi 20% kwa miezi miwili. Nahitaji mkopo huo kwa kibiashara kwa Dhamana ya Gari yangu, ambayo naiuza kwa...
Wanabodi, wizara ya maliasili na utalii ni kati ya wizara kubwa zenye vyanzo vingi saana vya mapato (wengine tunaiita ni serekali ndani ya serekali kwani ina kila kitu). Kati ya Taasisi nyeti...
Habar wana jf mm ninataka niwe wakala wa mpesa,airtel money,tigo pesa na Luku lakini sijuwi gharama za hivi vitu plz kwa anaejuwa naomba anielekeze Mpesa gharama yake shilling ngapi,airtell money...
wakuu heshima kwenu.
Natumaini thread yangu pia licha ya kutatua changamoto zinazonikabili pia itakuwa solution ya mtaji kwa baadhi ya vijana.
Mimi na mwenzangu I mean rafiki yangu baada ya...
hatua ya kwanza katika maendeleo ya nchi ni kuwa na mipango endelevu, la pili ni kutekeleza mipango na la tatu ni kuwa na usimamizi wa utekelezaji wa mipango ya maendeleo.
kama taifa tunahitaji...
Habari,
Nimeagiza zana za kilimo nje (trekta) kwa yeyote ambaye amewahi agiza trekta au anafahamu taratibu za kuitoa bandarini aniambie ikiwa ni pamoja na ushuru wa bandari na gharama zozote...
CONSCIOUS LEADERSHIP
SUMMIT
With Mrs. Scholastica Kimaryo certified by Chopra Center University [Former UN ambassador to South Africa & Lesotho and UNDP Regional Director for 23 Countries...
Je wewe ni Mjasiriamali, au Mwekezaji? na unatafuta kuwekeza au msambazaji au partner Africa mashariki, unajua kwamba unaweza pata fursa mbalimbali za kibiashara na tender katika Africa na dunia...
Habari wakuu,
Nauliza kama kuna yeyote mwenye namba ya mtu anayehusika na utoaji mafao pale NSSF Arusha, nataka na mimi anifanyie mpango changu kitoke mapema. Asanteni.
wakuu mm ni mkulima niliobobea natafuta soko la vitunguu vipo vya kutosha tu kwa bei nzuri ambayo itakuwezesha na ww mjasilia mwenzangu uwezi kujikwamua kimaisha,mzigo utakufikia popote ulipo...
Habari za kazi wadau? Mimi ni kijana ambaye nimeajiriwa katika mkoa wa Singida, mbali na kuajiriwa nimeona kuna fursa ya kufanya biashara ya kununua asali kwa wafugaji wadogo na kuifunga katika...
Wadau naombeni mwenye document (word/pdf etc) ya memorandum ya kampuni kama nilivyobainisha hapo juu (ya Tanzania, under THE COMPANIES ACT, 2002 nadhani) anisaidie tafadhali, nataka kujua...
Habari wana Jamii,
Vitu muhimu vya kuzingatia kabla ya kwenda kununua mashine ya efd. Wengi kama binadamu wa kawaida tunaangalia zaidi bei nafuu, especially kwa mtu ambaye hanunui kwa hiyari...
Africas richest man, Aliko Dangote, has announced new plans to invest an undisclosed sum in the development of a major coal mine in Tanzania, even as he continues to expand his business interests...
Habari!!!
Natafuta mtu wa kuendeleza project niliyoianza ya kilimo (eka 10, kilimo cha umwagiliaji, Dakawa-Morogoro).
Mpaka sasa 85% ya shamba limeshalimwa, liko katika hatua ya upandaji! (lengo...
Habari zenu!
Jamani mimi nina business idea, ambayo tayari nina kila kitu upande wa paperworks na marketing strategies, kwa maana kwamba nina uhakika kampuni itasimama. Shida ni kwamba sina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.