TTCL Chief Marketing and Sales Officer, Peter Ngota
Discussions between the government and Bharti Airtel with regard to the 35 per cent shares of Airtel in Tanzania Telecommunications Company...
AECF REACT R3 COMPETITION
Eligibility Criteria
You must meet all of the following criteria for your application to be considered:
Your company is a private for - profit company, partnership or...
Waungwana mimi nina eneo langu aeneo ya malagalasi yanapatikana haya madini ,ninaomba mwenye contact za wahusika serious niwasiliane nao kwani niliwahi mtumia jamaa mmoja sample akaipima tukafanya...
Hodi tena jamvini, haya maziwa ya azam mapya ukishayafungua ukiweka kwenye friji yanaganda na huwezi kuyatumia tena. Ni tofauti na daily milk ambayo ata ukifingua ukatia kwenye friji yanabaki kuwa...
Umeme mdogo umekuwa kero kwa watu wanao tumia vifaa vikubwa kama vile motor;mafriji n.k
Hata Stabilizer zimekuwa zikishindwa kukabiliana na tatizo hilo
Inafikia hatua vifaa hivyo havifanyi kazi...
Gavana wa jimbo la Virginia, Marekani Bwana Governor Bob McDonnel, ameonesha wasiwasi wake wa kupungua kwa mapato yatokanayo na ushuru wa nishati ya mafuta kwa kadiri watu wanavyozidi kununua...
Ndugu wana jukwaa nimekuwa nikisikia neno HISA katika biashara ila bado sijabaatika kuipata Elimu hii..Tafadhali mwenye uelewa wa Hisa naomba anisaidie
Statoil
Norway's Statoil has found more gas offshore Tanzania at the Giligiliani-1 well, increasing its total for an eventual investment decision on a liquefaction plant with Britains BG Group...
Wadau nina mpango wa kufungua studio ya mziki kurekodi audio na baadae video naomba kabla ya kuanza biasha hii mnipe ushauri ni namna gani ya kuiendesha kazi hii na vifaa vya mhimu...
Wadau,
Kampuni yangu inamiliki michezo mbalimbali ya watoto esp modern Jumping Castles kwa ajili ya kukodisha wanaoyahitaji.Sasa inamtafuta mtaalamu aliyebobea katika masuala ya sales and...
Mtandao wa intaneti umekuwa sehemu ya maisha ya watu wengi kwa maisha ya sasa. Tanzania nayo inaongezeko kubwa la watumiaji wa intaneti, hususani kupitia simu za mkononi na 'tablet' computers...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.