kutokana na shule nyingi hapa tanzania kushidwa kuwafundisha vijana kuhusu somo muhimu la kuhusu siri ya utajiri.
Naomba kama una malengo ya kuwa tajiri, na unataka kujua siri ya utajiri...
Mimi sio mtaalam wa mambo ya Kiuchumi lkn kwa uelewa wangu naamini Nchi kuendelea kutengeneza fedha kubwa huko kunaonyesha Uchumi kuharibika.
Kwa mfano Nchi ya Kenya fedha zake ziko juu sana...
Tunadesign na kuchora ramani aina zote, ukija kwetu tutakupatia floor plan, elevations, section, plumbing details,schedules, roof plan na 3d views. Ofisi zipo machinga complex floor ya nne wing ya...
Mimi ni kijana wa umri wa miaka 26 nimeajiriwa katika kampuni moja mjini dar nina degree ya IT n' not married,
naomba msaada wa kimawazo coz nataka kujiendeleza kimasomo au kufanya Biashara au...
ASUS Vivo Book X202E Touch Screen for sale
Windows 8 or other editions available
Up to Intel® Core i3 3217U Processor
žPrecision touchscreen for intuitive enjoyment
Sleek and light...
Kuna njia nyingi ambazo unaweza kuzitumia ili kuboresha au kufanya biashara yako kwa kutumia mtandao. Katika nchi kama Marekani, Canada, Uingereza na Australia, njia hizi zinatumiwa na...
Wapendwa Jf, watu wengi kwa sasa wanajishughulisha na miradi au biashara mbalimbali katika kupambana na umaskini au kujitoa katika ukata au katika harakati za kudumisha vipato vyao.
Shughuli...
Hello JF Members
Mwaka 2013 nilifingua Kampuni (private limited company) ya Project Consultancy services & Sourcing and supplying general goods.
Ofisi nimeanzia jijini Mbeya, katika hali ya...
Hello,
Kampuni ya KIMI DEVELOPMENT CONSULT LIMITED, kama kawaida tunaendelea kuwafanya watu mbalimbali wafanye shughuli zao kwa misingi imara ya Kiuratibu na Kiutekelezaji katika shughuli zao za...
Guys, I need your help. Nahitaji contacts, especially email address za Civil Contractors countrywide. I have some sources listing several civil contractors but most of them don't have email...
Ghana will build a new US$900m gas-firedpower plant: Read more here on the same please: Africa to have the largest independent power plant built in Ghana - Construction Review Online
the...
Jamani naombeni kupata msaada kati ya selcom na maxmalipo ni ipi bora kuichukua, kwa maana ya kuwa wakala?
kwa kuangalia kama kuna tofauti kwenye commissions na effectiveness na vitu vingine...
Vodacom Tanzania
Wanasema if it ain't broke don't fix it....
Ni ukweli usiopingika kwamba Mawakala ni Business Partners wenu, bila Mawakala basi hata kama mteja wa mwisho anapata punguzo kubwa...
*Habari zenu wana Jf
*mimi ni kijana mdogo kabisa mwenye elimu ya form 4b ninaeishi Daressalaam..
*Nina mtaji wa milioni mbili ila nimeshindwa kupata Idea yoyote ya business ambayo itanilipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.