Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Hivi karibuni kampuni ya tigo ilitangaza kuwa itatoa gawio la faida kwa wateja wake waliotumia huduma ya tigopesa kwa kipindi fulan. naomba anayeelewa hii ishu atujuze manake mm nasubiri mshiko tu.
0 Reactions
42 Replies
8K Views
Sasa unaweza Kuagiza bidhaa katika mtandao wa bicmark trading kwa usalama na uhakika, Katika mtandao huu unaweza Tazama bidhaa mbalimbali kama Memory Card,Flash Disk,Solor Charger, Housing za...
0 Reactions
0 Replies
895 Views
Habari wanandugu. Naomba yeyote mwenye ufahamu juu ya faida, hasara, jinsi, umuhimu na mengineyo kuhusu uwekezaji kwenye mfuko tajwa wa Umoja Trust Fund anisaidie kuelewa kabla sijafanya maamuzi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari za jioni! husika na kichwa cha somo!! Wenye uzoefu tafadhali naomba kujua ni ipi nzuri, Nikimaanisha network pamoja na comission zikoje! nakaribisha maoni na ushauri pia! W/end njema...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndugu zangu wana Jf Poleni na majukumu. Naomba kujuzwa, jinsi au taratibu za kupata wawekezaji, hususani kwa watu wenye, mashamba makubwa, vitaru vilivyopimwa kwaajili ya madini, na miradi...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu naomba kujua gharama za kuanzisha kampuni ya 1. SIMU 2. SOLAR 3. ELECTRONICS (RADIOS/TVS)-(Initial capital investment). Pia location ipi itakuwa ni nzuri kwa office. Na ni kipi kati ya hizo...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Zinapatikana aina tofautitofauti. Pia, tunasaidia kukupatia mteja kama unayo mali. Mwenye nia thabiti ya kuhitaji kufanya nasi kazi tutafutane. Strictly business, Hatuhitaji longolongo na Pumba...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
UAMUZI tata wa Serikali ya Awamu ya Tatu kubinafsisha Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) kwa kuuza sehemu kubwa ya hisa zake kwa wawekezaji binafsi, umeendelea kuligharimu Taifa, safari hii...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari wanajamvi, Kwa anaejua mkopo CRDB ni vitu gani huhitajika? kwa mfanyakazi wa serikalini, maana nnapewa maelezo tofauti kila siku- niko kinondoni so ni kijitonyama branch, mwenye kusaidia...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Salamu Wakuu: Nahitaji kujielimisha kuhusu gharama za kupiga plasta ile wanasema ni ya kisasa ikiwa ni mchanganyiko wa Cement + Sand + Gypsum. Hii wanasema ndio bora na inakusugua kwingi...
0 Reactions
7 Replies
9K Views
Wana jf, katika harakati ya kjikomboa kiuchimi nilifikiri kuanzisha biashara ya kuuza chipsi maeneo ya tabata, niko kwenye mchako wa kutafuta location na nimepata kwa taadhari ya kwamba hapo...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
wadau nilichapisha kitabu kinachohusu pombe. kitabu hicho kina sura zifuatazo. · AINA ZA POMBE · JINSI POMBE INAVYOFANYA KAZI MWILINI · HANGOVER NA MATIBABU YAKE ·...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hello, Kwa muda wa mwezi wote wa kumi (OCTOBER), Ofisi yetu Tunatoa punuzo au OFA ya gharama za jumla za kutayarisha au kuandaa WRITE-UPS za aina mbalimbali kwa kadri ya mahitaji ya mteja. OFA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
It will now be possible to use your commuter card on any matatu or bus operating after the government forced cashless fare providers to integrate their platforms to allow seamless use across...
0 Reactions
0 Replies
628 Views
A US-based firm Tuesday introduced a two-bedroom house made from alternative building materials at a cost of Sh851,400 in an offering targeted at the low end of the market. International Green...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wakuu; Naomba ushauri ni vitu gani (hints) za muhimu wakatiwa kuanzisha project za kilimo, natanguliza shukrani
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tatizo la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini linaweza kupunguzwa kwa kiasi kikubwa kwa ujio wa mikopo yenye riba nafuu nchini. Mikopo hiyo ambayo itaanza kutolewa rasmi kwa awamu ya kwanza mwezi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari ya Leo wanajamvi nmekuwa nikifuatilia kwa makini thread za ukulima Wa vitunguu Mda mrefu humu ndani hata kabla sijawa member salsa niamua kuta kulima vitunguu ruaha mbuyuni iringa sasa...
0 Reactions
1 Replies
5K Views
Habari wana jamvi. Wengine watanishangaa lakini acha niwaambie Bonite Bottlers kuwa kitendo chao cha kupaki maji yao kwenye makaratsi ya nailoni kimedhoofisha kabisa soko la maji hayo. Sasa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
1. I need to propose a strategy on how to start the business right now on a smaller but practical size. I want to be non less than the market "leader" in the next 2/3 years. 2. What is the minimum...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom