wadau me nimevutiwa sana na ushaur wa humu ndani,jaman me sina mtaji mkubwa lakin nataka nifanye kilimo,nimepewa assignment ya kutafuta wazo la kilimo,ambalo gharama zake ni ndogo ndo hapo...
Habari wana jamvi,
Naomba kujuzwa taratibu,gharama na mambo ya muhimu yanayohitajika ili kuweza kufungua kampuni ya clearing and forwarding hapa Tanzania.
Nategemea kupata michango mizuri ya...
Habari wana jukwaa,
Je inawezekana kutuma pesa kutoka safaricom Mpesa kuja Vodacom Mpesa?
Naomba mwenye kujua anijuze.
NB: Nimejaribu kupiga simu Huduma kwa wateja vodacom lakini kwa bahati...
Kwa wale wenye Connections ama kuhitaji kuwekeza eneo jipya linalokuwa kiuchumi wa Gesi na Cement ya Dangote Mtwara tunawatangazia kuuza Eneo zuri la Kibiashara
Ukubwa-22,700 Sq Mtrs...
Niwasalim wajuvi wa mambo na wale tusiojua juu ya hili tutafaidaka na msaada wa wenye ujuzi juu ya hili.
Kwa siku kadhaa nimekuwa nikipigiwa, tumiwa sms na kuelezwa juu ya kujiunga na Forever...
Kutokana na usanii mwingi uliojaa na cost za kujenga zilivyokubwa nchi hii, nauliza
what are the chances za biashara au kujenga mwenyewe ya pre-fab houses ?
Say unajenga nyumba nzima nje ya nchi...
Nipo Dar maeneo ya Kimara..nataka kufungua biashara ya duka la jumla,kwa vitu vya kawaida kama unga sukar mafuta n.k.....kwa wale wenye uzoefu na biashara hii ni tahadhari gani za kuchukua? kwa...
Paypal id ni nini? ID yako ya PayPal ni barua pepe yako ama email address ambayo umefungulia Paypal account. Kwa lugha nyingine Paypal id is your email id ambayo uliitumia wakati ukifungua...
Sasa hivi kutoka Dar es salaam kwenda Dubai kwenda na kurudi ni dollar 700 wakati wiki 3 zilizopita ilikuwa dolla 1000 na kitu.
Kwa wale wanaotaka kutembea au kwa biashara huu ndio wakati...
Wana- jamii Forum. Kwa wale wafugaji wa kuku wa nyama na mayai; Vifaranga na mayai ya kutotoleshea (Fertile eggs) vinapatikana kwa bei nafuu. ukitaka ununue mayai tukutotoleshee inawezekana pia...
The discovery of oil and gas in the Mtwara and Lindi regions in Tanzania is the main reason for the upgrade process Mtwara port is to undergo. See more here on details of upgrade - Mtwara Port in...
MOTOR TAX CALCULATOR ni calculator inayoweza kutafuta ushuru wa TRA kwa kila gari lililoagizwa kutoka nje (Imported Vehicles) kwa urahisi zaidi. Pia Calculator hii itakuwezesha kujua gharama...
I am looking for electric submersible water pumps:
Specification: 5.5 - 7.5 KW, made in Italy.
Where can I find them in Dar Es Salaam? What are their prices?
Wadau naomba msaada wenu, nataka kwenda China kwa ajili ya kununua vifaa vya umeme na nguo naomba mtu anisaidie anayejua maduka huko na hotel za kufikia na mazingira ya huko kwa ujumla.
Naomba kuuliza kwa wana JF wazoefu wa Ujenzi!
1. Kununua Matofari ambayo yemkwishafyatuliwa na kufyatua mwenyew kipi ni bora?
Naomba majibu yazingatie Gharama na ubora.
2. Na kama...
Nimewaona hawa KUPATANA katika matangazo yao na nimeona baadhi ya vifaa.Naona ni prototype ya Alibaba lakini kwa hapa zaidi ni vitu vilivyotumika.
Kuna yoyote kati yetu amefanya biashara nao...
Nilisikia kwamba Benki Kuu ndiyo hudhibiti mzunguko wa fedha katika nchi na ndiyo inayoachia kiwango maalumu cha fedha kuingia ktk mzunguko huo kwa sababu za kiuchumi. Je, inakuwaje pale pesa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.