Nataka kufuga ngomba wa maziwa wa kisasa katika mkoa wa Tanga . nisaidieni ngombe aina hii nitawapata wapi katika mkoa wa Tanga. Nahisi kuna vituo vyauzalishaji. Natanguliza shukrani
Wadau kuna hili wazo la biashara ya kununua nguruwe huko Morogoro kuchinja na kuleta hapa Dar, ofcourse itahitaji uwe na order kwenye vituo vya kuuzia nyama ya nguruwe, kwenye mabaa na watu...
Wana JF kwa muda mrefu sasa, wafanyabiashara wengi wadogo wamekuwa wakilalamika kwamba kanuni lukuki na kodi kubwa zimekuwa zikichangia kudumaa kwa biashara na kuwavunja moyo wajasirimali...
Wakuu, mimi nimesajili jina la biashara yangu, nikapata lesen ya kupeleka bidhaa nje. sasa bidhaa hizo nazichukua kiwandani, wananiuzia na VAT, nikiwaambia mimi na export sitakiwi kulipa VAT...
Naomba kujuzwa kuhusu uwezekano wa kusafirisha matofali ya kuchoma kutoka Morogoro had Dar na yakafika salama .Natamani kujenga nyumba ya matofali hayo ,Je inalipa?
Mimi ni mfanya biashara mdogo nina miliki duka dogo naitaji kupata uzoefu wa kibiashara kutokana na kwamba sio mzoefu sana katka biashara embu wataalamu hapa mnipe mbinu za kukua kibiashara but...
Wakuu wiki uliyipita kulikua na purukushani Tandika kuhusu leseni nilishangaa sana kuna maduka zaidi ya 200.Kifupi inatia aibu sana kuona uzembe kama huu huku wafanyakazi ndo wakikamuliwa kodi...
Mimi kama Mteja wa NBC wa siku nyingi nashangazwa na changes zinazotokea NBC sasa hivi hasa tawi la apa Arusha Bondeni. kuna teller 1 tu na mara nyingine wanakua wawili na kuna jamaa ya hatari...
Naombeni ushauri wenu wana JF
Mimi nataka nianze uchimbaji wa madini kama mchimbaji mdogo ila bado sijajua ni madini gani yanayolipa na kumtoa mtu, pia nisehemu gani yanapopatikana kwa wingi...
Habari zenu wadau,
Kwanza niwapongeze waliobuni na kuanzisha jukwaa hili ambalo siyo tu ni chanzo cha habari mpya, burudani bali pia kisima cha maarifa. Hapana shaka kuwa kila anayetembelea jukwaa...
Tanzania has signed an agreement with French oil producer Maurel et Prom and Wentworth Resources for the supply of gas aimed at doubling the country's power generation capacity to 3 000...
Habari zenu watafutaji wenzangu! Kama kawaida mimi niko poa sana naendelea na ugunduzi wa mawazo ya biashara ngeni kidogo ila kwenye utekelezaji ndo huwa nateleza kutokana na sababu mbalimbali...
Kuna kiongozi mmoja mkubwa aliwahi kusema kwamba hata yeye hajui kwa nini wananchi ni maskini! Ni masikini kwa sababu wananyonywa! Huwezi kuwa na tax rate kubwa kwenye income tax, kwenye Vat...
A Honey Care Africa worker. The firm was shortlisted for its project in South Sudan where it is helping locals generate additional income through honey production.
The prize is awarded...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.