Hapa chini ni sehemu ya maelezo ya kingereza juu ya namna Benki ya Dunia(WB) na IMF zinavyofanya kazi...!
Ninatarajia wachumi wa Jukwaa hili watafafanulie kama kweli WB na IMF wapokweli...
Wakubwa ,nataka nianzishe ka mradi ka matofali.naombeni mnijuze vifaa vifuatavyo vinapatikana wapi pamoja na bei elekezi.
1.mashine ya kufyatulia tofali(two in one) ya umeme
2.mashine ya...
Natumaini wote hamjambo? Mimi na marafiki zangu tumeamua kuelimisha vijana wenzetu namna ya kuboresha maisha yao kwa mifano pia kutoka kwa watu ambao wamefankiwa. Kwa kuanzia tutaanza kuelimisha...
Wadau mawazo yenu tafadhali nimepewa mil kumi na ndugu yangu aliyepo nje ya nchi baada ya kumsumbua kila siku kuhusu maisha na namna ya kutunza familia aliyoiacha huku amejitahidi amenitumia...
"Tanzanias public debt now reaches Sh30 trillion"
Dar es Salaam. The government did not borrow much at the start of the current financial year, but that was not enough to stop national...
The rollout under the Northern Corridor Infrastructure Framework has been deferred pending the Heads of State Summit scheduled for October 7 to 9 in Uganda. Once implemented, the calling rates are...
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya St. Augustine. Kina ukubwa ekari moja bei 15m. Kamata fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia kufunguliwa Vikindu, na...
Yamkini mlinunua screpa nyingi za mashine lakini mtuonee huduma wateja wenu tunahangaika sana na ATM za CRDB yani kuna ambazo ukikuta pesa. Sio mbovu kwa siku hiyo tunashukuru sana na mbaya zaidi...
Kuna yeyote anayejua kama ramani za hivi viwanja vilivyopimwa katika vitongoji vya Dar es Salaam vipo online? Na kama vipo online naomba address yake tafadhali.
Hi jfs..
Mi nina ushauri kidogo kwa wajasiriamali madaktari.
Hapa tz mikoa mingi haina mashine za vipimo tofauti tofauti.
So jiungeni mchange au mchukue mkopo mnunue mashine then muwe mnatoa...
Habar wakuu.
chonde naomben msaada wa mawazo yenu(tafadhali) nina Tsh 50000 nashindwa niwekeze vipi niko mazingira ya town ila sina muda wa kufanya kiinshu kingine kwa mm mwenyewe kulingna na kazi...
Kiwanja kinauzwa vikindu jirani na chuo kikuu kipya st Augustine Ukubwa ekari moja bei 15m. Wahi fursa hii kwani wengi hawafahamu kuwa kuna university inakaribia kufunguliwa Vikindu, na bei za...
Poleni kwa kazi wanajamvi,
Nataka kuingia katika ufugaji wa samaki, nipo katika hatua ya kutengeneza business plan. Moja kati ya vitu ninavyohitaji kuvifahamu ni gharama ya vitu vifuatavyo;
1...
The commissioning comes after RVR announced that it had secured a Sh1.8 billion asset financing deal with Standard Bank of South Africa and CfC Stanbic Bank towards the acquisition of 20...
KUULIZA SI UJINGA WASWAHILI TUNASEMA
natamani kufanya biashara , na fedha nilizonazo jumla kwa ajili ya kufanyia biashara hiyo ni tshs 2,000,000/= tu.
katika biashara hii, natamani kupata faida ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.