Public Procurement Regulatory Authority board chairman Dr Matern Lumbanga (L) briefs the media in Dar es Salaam yesterday on procurement auditing report for financial year 2013/2014.
Following...
Mbeya/Dar. Passengers travelling with FastJet Airline have complained of unnecessary cancellations of flights without issuing timely communications.
The furious passengers said repeated acts of...
WADAU NAOMBA KUULIZA NA KUPEWA UFAFANUZI KUHUSU HII GARI AINA YA SUZUKI KEI kina cc650 nimekipenda nataka kununua....ni vyema kujua mawazo wale waliowah kikutumia au kuwanako au rafiki yako kuwa...
Wakuu heshima kwenu,
Nina panga kununu na kufunga machine ya kusaga na kukoboa,kwa lengo la kusaga unga wa sembe na dona,kuufanyia packaging na kuuza kwa ujazo tofauti.(estimated budget plan ni...
Biashara inayoendelea ya duka la jumla na rejareja inauzwa kama ilivyo. Duka liko eneo la soko kubwa na lina wateja wengi. Ukubwa wa duka ni mita za mraba zisizopungua 100. Linafaa sana kwa...
Mim ni mmiliki wa Flem ya kufanyia biashara.Ni chumba kikubwa cha kutosha na IPO mjini mbele ya Stand ya Miti mirefu Mwanza.Jengo la gorofa ila Flem IPO kwa chini na si juu.Kwa mawasiliano...
Just that France embassy in Kenya has announced tender to construct an embassy and residence. Tell this to contractors and construction companies interested or read more on this here ...
Waungwana, nimeagiza Printer itakayowawezesha wateja wangu ku print picha wazipendazo katika Covers za Smartphone zao.
Printer inaingia kesho, niko katika hatua za kitafuta frame mwenge.
Bei...
The local currency has depreciated by tzs 25 in the last month month only! Its currently trading at 1680 against 1690! Why is BoT quiet? Inflation will remain above their medium term target of...
Kama mnavyojua jana usiku palikuwa na hafla ya kukabidhi tuzo kwa wafanyabiashara waliotukuka EA pale Nairobi. Bwana Mengi amejinyakulia tuzo mbili (EA Business Leader Award & Lifetime...
Kwa wanajamvi wajasiriamali mlioko jijini Mwanza naomba mnitengulie hiki kitendawili. Kuna jamaa yangu anajaribu kuanzisha biashara jijini Mwanza; tayari kalipia leseni tangu mwanzoni mwa mwezi wa...
The number one affodiable website hosting company in Tanzania. Get free domain name with hosting package for Tshs 65,000 only. Visit us for more details www.bongowebhost.com
Habari zenu wakuu....je biashara mchele wa jumla jijini arusha unalipa?je mtaji wake unaweZa kua bei gani?na huwa inakuaje....naomba kueleweshwa tafadhali....
Heshima zenu wakuu!
Nimefungua duka la Simu na Vifaa vyake, ingawa limeshaanza lakini napata tabu hasa katika manunuzi ya bidhaa zenyewe, kwa yeyote anayeuza Simu au vifaa vyake kwa jumla naomba...
Niliweka fetha bank nilifungua fixed account hiyo bank walikua wanatoa riba ya 3% for three month na kianzio kilikua 500,000 je after hiyo miezi mi 3 ilitakiwa nipate shilingi ngapi? Naombeni...
Hbr wanaJF
Kwa yeyote mwenye kujua biashara ya kutengeneza na kuuza misumali ya ukubwa mbalimbali tafadhali naomba anifahamishe kuhusiana na
1) soko
2) gharama za udhalishaji
3) changamoto...
Habari zenu wanajukwaa!
nahitaji mbolea aina ya NPK mifuko 50. natanguliza shukurani kwa yeyote anayefahamu ninapoweza ipata kwa bei nzuri hapa DSM ani pm au tuwasiliane kwa 0758127558
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.