Ndugu wanajanvi naomba msaada kwa anaeifaham vizuri biashara ya mbao zakupaulia nyumba.
Naomba kufaham nitaifanyaje ili iweze kunilipa?
Mtaji wake ili niweze kuanza vizur nianze na Tsh ngapi...
Niliona mahali juu ya habari kuwa. Zitto Kabwe ameanza kutoa mikopo kupitia zitto kabwe fundation.
Nikapita katk link waliyoweka.ila nataka pata uhakika je ni ukwel au ni wajanja wajanja wa mjin...
Amani iwe Kwenu wapendwa, jana nilitembelewa na jamaa angu akiomba ushauri.
Alikuwa amekopa mkopo bank miezi 6 iliyopita, sasa kuna asasi ya mikopo eti inataka kununua deni alilokopa bank ...
alijitambulisha kwa jina la joseph, yeye anahusika na mbegu za vitunguu pamoja na kilimo chake bagamoyo na mikoan. Naombeni namba zake zinazopatikana ile 0655003510 haipatikani.
Nimefanikiwa kuhudhuria kwa miaka mitatu mfululizo maonesho ya nane nane Morogoro,kwa kweli napenda kusema wahusika hawavitendei haki viwanja hivi,hawawatendei haki waudhuriaji na hata...
==========
WARNING: This is a conman, beware! DO NOT be tempted.
TAHADHARI: Mtu huyu ni tapeli na ameripotiwa kwenye vyombo vya dola
==========
Dear JF Members!
I live in Arusha, married and...
Kwa wale walioogopa kuwekeza swala. Watu wamewekeza mpaka hisa za ziada. Tuwekezeni wadau bila ya hivyo tutakufa maskini.
UPDATE - SWALA TANZANIA INITIAL PUBLIC OFFER (IPO)
Swala Energy...
Habari zenu wanajamvi.
Nimefanikiwa kusoma au kuendelea kuiona au kusikia hii kitu inayoitwa Hisa. Na mara nyingi ninasikia hasa kwenye shughuli za kibenki na biashara zingine kubwa kubwa...
Salaam.
Mimi ni mgeni katika mambo ya mikopo sijawai kukopa benki yoyote,nimekua nna nia ya kuchukua mkopo benki nnayo hati ya kiwanja tu,afu kwa sasa sina biashara yoyote as in hiyo hela...
Wadau hapa mjini kuna kila namna ya utapeli hivyo kwa wale wenye uhakika na hich kitu au hawa jamaa wanaojitambulisha kama hisa tanzania tumegeeni na sisi kidogo,hii chini ndo adress yao...
habari za muda wakuu.
nilikua nimepita pita huku na kule, nikawa nafikiria kuanzisha hii biashara maeneo ya usa river arusha. naombeni ushauri wakuu, kwa wale wenye experience kuhusu biashara...
Kama ukiangalia vizuri nchi yetu ya Tanzania inatengeneza mabadiliko fulani ya kibiashara na kiuchumi na mabadiliko haya yatakuwa na athari na faida zake.
1. Kwa sasa serikali imeamua...
Habari zenu wana JF.mimi ni Mwanafunzi wa chuo kikuu hapa Tanzania na nina mtaji wangu wa mil 3.naombeni mawazo yenu.biashara gani naweza fanya kwa mtaji huu nikiwa chuo?