wanajamvi ninataka kuanzisha biashara ya kuuza viazi mviringo Dar. nimejipanga kuwapelekea sampuli za viazi mahali husika hususani kwa choma chips gunia la kiazi Dar linauzwaje kwa sasa. na ni...
Natural Resources and Tourism minister Lazaro S. Nyalandu
Tanzania has announced a 7 percent increase in tourist arrivals from the US as more Americans continue to be attracted by the world...
Habarini za kazi wapendwa!
Ninatamani kufahamu juu ya hii biashara ya ununuzi wa hisa, hivi inafanyikaje? Mtaji mzuri wa kuanzia ni kiasi gani? Unapataje faida kwa kununua hisa? Ni wapi au...
PwC Faces Suspension, Fine From New York Regulator
The New York State Department of Financial Services conducted an investigation into PwC's regulatory advisory services arm involving work it...
CD inauzwa ina ramani za nyumba za kisasa 100 zilizokamilika
bei ya cd hii ni sh 450,000 maongezi yapo
Simu : 0765164046 / 0786410889
Kitabu chenye ramani kamili za nyumba za kisasa kina...
DSE wali anzisha project ya manunuzi ya Hisa kwa wanafunzi wa vyuo vikuu naomba kujuzwa jinsi ya kununua izo Hisa kupitia simu ya mkononi kwa watumiaji wa airtel
Nauza kabichi aina ya seminist na mkulima hybreed or F1 zina uzito wa kilo moja had tano bei miasaba had elfu moja zipo nyingi zaidi ya elfu kumi na tano mawasiliano 0764256570
Wengine hurudi nazo nyumbani na wengine hufungia kwenye safe dukani! Wewe unazitunza vipi? Naomba mchango hasa wale wanaofanya biashara za M-Pesa, Tigo-pesa na wengine!
Kwanza nimetumia style ya kibongo muvi kuandika taito ya kizungu alafu habari yenyewe ya Kiswahili ili kuwatisha waliokimbia umande!
Ninawashangaa watu wanahangaika na Ukawa, huku wakimuacha tax...
Kwa research yangu ndogo niliyofanya ni kwamba hii beer inauzika sana siku hizi tangu imeingia sokoni mda mfupi uliopita.ukikaa Bar, Club au popote panapouzwa vinywaji, utaona watu wengi...
Habarini wakuu.Nahitaji kufungua Account kwa ajili ya institution kuna Mambo 2 muhimu yanayohitajika kwenye hio acc ni 1.API for receiving payment online 2.PHP script link to online banking...
Two Tanzania's resorts among world's most expensive hotels
Source: Pesa Times
Two luxury resorts in Tanzania are listed among the most expensive hotels in the world. A recent survey...
Habarini wana jamii
kwa wataalam wa kiswahili mtanisamehe kama habarini si neno sahihi ila ni kuwapa hi tu jamani.
Bandugu, dogo letu moja linasoma chuo kikuu cha kilimo cha sokoine. likamfuata...
Habarini wadau? Nitokea kutamani kuwekeza ktk hisa za gesi na mafuta, lakini sina uwelewa mpana juu ya undeshwaji wa biashara ya hisa, hasa nawezaje pata faida na risks/ threats ni zipi? Tafadhali...
Tanzania's Williamson diamond mine, which is majority owned by Petra Diamonds (LON:PDL), has a potential mine life of over 50 years, although the current mine plan only accounts for 18 years...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.