PROJECT TITLE: RECOGNITION AND REGISTRATION OF CHARITY FOUNDATION ORPHANAGE (CFO) MAINLY TO SUPPORT 100 VULNERABLE ORPHANS EDUCATIONALLY. CONTACTS:Box 8, Mzumbe, Tanzania Email...
Juzi nilikuwa natembea maeneo ya njiro arusha nikaona kile kiwanda chetu cha Matairi ya magari kimeota majani na hakuna uzalishaji tena.. Najiuliza nini na ninani hasa aliyepelekea kufaa kwa...
Naomba kwa walio na uelewa wa XMASTER 3G wanifahamishe kuhusu upatikanaji na gharama zake hapa nchini na ufanisi wake katika suala zima la kushika Chanel za DSTV
Said Salim Awadh Bakhresa.
KATI ya miaka ya 1960 hadi 1980, mtu kuwa tajiri alionekana ni hatari kwa taifa, tena mali zake alizimiliki kwa kificho, vinginevyo angeitwa mhujumu uchumi...
Wadau wa Jf nimeagiza gari kutoka japani na gari limeshafika Dar ila documents ambazo seller alinitumia kwa DHL hazijafika. Pia alinitumia tracking namba na nika track through website ya DHL...
Habar wana jf
kwanza napenda kutambua uwezo mkubwa uliopo humu jf hasa katka jukwaa hili muhimu la biashara kwani wengi tunapata ujuzi na elimu ya bure ambayo hatuwezi kuipata sehemu...
Ndugu wana JF,
Ninaomba niongee machache kutokana ninayoendelea kuyaona katika kufanya biashara pamoja na kazi za kiofisi hapa nchini.
Je ni kweli sisi tunashindwa kuthamini muda wa kazi...
Habar wadau Ninataka kufungua kampuni itakayo dili na kufanya matangazo hapa nchini .sasa nauliza wadau kama mnafahamu Kuna vibali vyovyote nitatakiwa Kuwa Navyo nje ya vibali vya kufungua kampuni?
Alibaba.com is a B2B (business-to-business) online platform allowing Chinese suppliers and international buyers to meet together. Alibaba websites account for over 60% of the parcels delivered in...
habar wadau wenzang, nimepitia jarida la economist nimesoma ripoti kuw tanzania katika sekta ya utalii inapoteza mapato 60% ina maan tunapat asilimia 40% tu,hizo asilimia 60%zinaend katik usafiri...
Meet tally erp 9 experts, we offer the following services
ü INSTALLATION
ü TRAINING & SUPPORT (including corporate training)
ü CHARTS OF ACCOUNTS/COMPANY/BUSINESS SET UP IN TALLY
ü EXCEL/WORD TO...
Nairobi rental market competition heats up
Residential houses in Ngara, Nairobi. Property developers are now offering free Pay TV and Internet services in a bid to attract tenants.
Tall...
Habari zenu wakuu,
Naomba mnielimishe kuhusu kuomba mkopo kupitia hisa zako ambazo umenunua Dar es Salaam Stock Exchange (DSE). Nimekuwa nikisikia kuhusu hilo lakini sina undani wa taarifa zake...
samahani sana
Nina shida ya uelewa kwenye jambo fulani.
Nina imani kwa kupitia kwenye hili jukwaa letu tukufu. Ambalo limesheheni mitazamo iliyo na upeo wa kutosha, ninaweza nikapata ufumbuzi...
Salaam wakuu,
Mimi ni kijana mwenye kiu ya mafanikio lakini sina mtaji wa kutosha. Najitokeza kwenu kuomba msaada juu ya hii ishu.
Nimejaribu kufanya utafiti hapa Musoma na nimeona kuna vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.