Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habarini Wanajamvi. Naombeni ushauri wenu kwa wale walioisha watumia be forward Tanzania kama clearing agent wao wa magari vipi huduma zao zikoje maana kunawanao wasifia na wengine...
0 Reactions
6 Replies
9K Views
Wadau kulikoni fastjet iliyojinasabisha na wasafiri wa Mbeya sasa wameanza kuonyesha makucha. jana wameahirisha safari zao za mbeya ghafla. Na kuudhi leo wasafiri wanadandia ndege kama daladala...
0 Reactions
27 Replies
4K Views
wanajamvi wenzangu, mimi nina bar yangu, ambayo location yake ipo mafichoni kidogo, na watu si wengi. uendeshaji wake mwanzo kabla sijaichukua ulikuwa mbovu kutokana na mmiliki kuishi mbali...
0 Reactions
23 Replies
5K Views
Habali zenu wana JF,hivi kwa mfano mtu unaandaa au kutengeneza business proposal yako kwa minajili ya kuuza hyo proposal yako kwa mtu mwenye uwezo wa kufanya hiyo biashara au project jee waweza...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
According to a comparative global study by PWC, Tanzania is not an easy place to do business as far as tax environment is concerned. It ranks 141 in the world (out of 189) for the ease of making...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mhe akisalimia na wanachama wa taasisi Mbunge wa kigoma kaskazini Mhe. Zitto Zuberi Kabwe amefanikiwa kuzindua taasisi ya ENHANCE MASS DEVELOPMENT kwa kishindo kikubwa, ambapo...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari zenu wadau wa jf,nakusudia kuanzisha biashara ndogo ndogo ya kukaanga kuku,pweza na vitafunwa vingine.so nahitaji mtu wa kunisaidia ktk shughuli hizo malipo tutaelewana nipo dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wanajamii forum, nimesikitika sana ndo maana nimeamua kuandika hili lalamiko kwenye upande wa biashara.. watu sijui kwanini hawapendi uaminifu na kutuuzia vitu ambavyo haviendani na...
0 Reactions
1 Replies
874 Views
Wanajf habari, mi nataka kujua wanunuzi hasa wa madini ni wakina nani au ni wapi kwa maana kuna ndugu yangu ana madini aina ya Mekyuri ya maji nyekundu na nyeupe kutoka Morogoro anatafuta wateja...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Kuna Mwajiri ana staff zaidi ya 300 na wote wana mikataba ya kudumu. Mwajiri huyu hataki kuingia Mkataba na Benki ili staff wapatiwe personal loans (sababu anazijua mwenyewe). Naomba kujua Benki...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
wakuu samahani, najua mtaona labda mm ni mgeni humu lakini hapana. binafsi nasomaga tu hoja za wanaJF humu kwa muda mrefu. ila leo nimekuja na hii ishu naomba ushauri wenu wa fasta; nataka niende...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nina fikiria kununua hisa za CRDB au NMB za muda mrefu kama mwaka au zaidi hivi ndio nitaziuza, ningependa kuuliza zina risk sana au hakuna risk kabisa maana kuna jamaa aliniambia za kwake...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
naomba ushauri wadau nataka kuanzisha kampuni ya tours je nifanye nini ilinifanikiwe sababu ya kufanya hiv ni kuendeleza kudumisha utalii wa ndan na nnje maeneo ya kanda ya ziwa kwani tuna...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NIKIWA NATAFUTA TIKET MTANDAONI TOKA DAR-ENTEBBE NIMEKUTANA NA HABARI KUWA FASTET SASA WAMEANZISHA SAFARI ZA DAR to ENTEBBE kwa 80,000 TSH.(ONE WAY) DUUH KUANGALIA KENYA AIRWAYS (DAR-ENTEBBE) NI...
3 Reactions
5 Replies
2K Views
The high cost of moving cargo through Kenya is pushing most East African traders to Dar es Salaam despite reforms that have significantly raised efficiency at the port of Mombasa. Traders based...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Habari zenu wana JF. Kupita kwangu kwenye hii forum ya biashara na uchumi kumenipatia mimi muamko mkubwa wa kuanxa kufanya biashara pia, hivyo nawashukuru watu mbali mbali ambao wamekua wakiandika...
0 Reactions
38 Replies
11K Views
Ramani ya Dunia inayoonyesha kila nchi na vitu ambavyo nchi hizo zinaongoza kwa kuuza nje ya nchi kwa wingi (Export)! Kama inavyoonekana sisi ni Dhahabu tu kwa kwenda mbele lkn majirani zetu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu naomba msaada kujua maduka yanayouza madawa ya Mifugo hususani ng'ombe hapa Dsm.Asante!
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mr Robert Kisena, chairman and CEO of Simon Group, which has a controlling stake in Uda, told The Citizen in Dar es Salaam on Wednesday that the money would help the company with preparations...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Dar es Salaam A delegation of businessmen from the US is here to lobby the government, through the ministry of Livestock Development and Fisheries, to let them import cheap chicken bred in...
0 Reactions
3 Replies
910 Views
Back
Top Bottom