It's 1:15 pm on a blistering hot Wednesday afternoon in Dar Es Salaam. Patrick Ngowi is seated in the lobby of the Hyatt Regency Hotel, patiently waiting for me to keep up with our lunch...
The 10 Biggest Tax Havens in the World
Sammy Said
07.23.13
25,119 views
The Biggest, Travel
Share
Tweet
More
In 2009, the governments of the 20 wealthiest countries in the...
Wakuu mimi nataka kupeleka nafaka nje ya nchi, naomba anaye jua vibali vinapatikana wapi anisaidie kunielekeza. na pia sheria zinasemaje. naomba msaada wenu.
asante
By George Psyllides
Procedures to sell FBME Bank have been halted pending a court decision on a motion for the suspension of a Central Bank (CBC) order placing the lender under resolution, it...
Wakuu naomba kwa mwenye ujuzi ni biashara ipi naweza kufanya kwa mtaji wa 500,000 kutoka Mwanza to Dar-es-salam mimi nipo Dare es salaam na Mwanza nna watu pia?
IntelliTeams | Business Process Outsourcing peerless skills in online, offline web data entry, Back Office Services, Web research and Media Transcription.
Web Research | Offline Data Entry |...
Wadau naombeni msaada wa kuwajua Hawa jamaa, nataka kununua gari kutoka kwao, naomba kujulishwa hawajamaa ni wa kuaminika? Na condition ya magari yao ipoje? On average ni Siku ngapi nitasubiri...
Ivi serikali inaona jinsi inavyopoteza mapato. Naona kama tunaibiwa fedha zetu unalipia mzigo kodi zote lakini mzigo wako unashikiliwa hupewi Ati system hazifanyi kazi kibaya zaidi unazidi...
Ndugu Wanajamvi Mie Ninayo Mashine Ya Kukoboa Na Kusaga Ipo Kijijini Kwa Siku Si Haba Inanipa Siyo Chini Ya Tsh.15000,naomba Msaada Wa Namna Ya Kuirasimisha Ili Niweze Kuiendesha Kibiashara Ili...
"We need to run the risk, because the greatest risk in life is to risk nothing. The person who risk nothing does nothing, and has nothing. is nothing and does nothing. he or she can avoid...
tunaomba waandaaji wa maonyesho ya 8/8 arusha muongeze juhudi katika kutangaza maonyesho, ni aibu kwa mfanya biashara kulipa kiingilio kwenye maonyesho alaf hapti msaada wa kutangaza biashara...
Habari wana Jamvi. Naomba mwenye taarifa anijuze , inawezekana kufungua biashara yaWestern Union kama huna bank kama wakala wa M-Pesa au Tigo Pesa wanavyojitegemea?
Sent from my BlackBerry 9320...
Inaskitisha sana kuona hujuma za waziwazi zinazofanywa na mafisadi kuhujumu juhudi binafsi za wazawa katika shughuli nzima za kimaendeleo kama kinachoendelea kwenye mabasi ya Dar Express...
Hello everyone ,I am new to this forum and am excited to connect with everyone in this forum.I am writing from Zambia and i need advise.How can i connect with my fellow tour operators around the...
Ndugu zangu wana jf naombeni ushauri. Kwa ufupi nataka kufanya biashara ya kusambaza mchanga na kokoto, ila kabla ya kuanza ningependa kujua yafuatayo
. Biashara hii ipoje?
. Sehemu ya kupata...
Nataka kuagiza mzigo wa sabuni,lotion kutoka china,naomba kujuzwa kuhusu utaratibu wa kupata import permits.Ina bidi niombe Tfda na tbs au taasisi moja tu kati ya hizi mbili?
Nime omba test...
Kwa mara ya 2 narudi jukwani wana jf kwani mara ya 1 sikupata support,ni kwamba:- 1.je,kuna incubator automatic inayotumia solar power?
2.kama ipo,ya mayai 3,000 inauzwaje na inatumia watt ngapi...
Habari za wakati huu ndugu wanajamvi.
Napenda kuchukua nafasi hii kuwauliza,
Nina mpango wa kununua Nissan X Trail mana nimevutiwa nalo kimwonekano.
Anaelifahamu vizuri gari hili anijuze...