WATCHDOG: The Bank of Tanzania (pictured) is investigating US claims linking Dar-based FBME bank to wire transfers related to suspected shell companies with ties to terrorists and organized...
Are you interested in becoming a small business consultant?
If yes, then we invite you to attend the " HOW TO START A SMALL BUSINESS CONSULTING SERVICE" seminar.
When: August 2, 2014...
Uganda itaanza utengenezaji wa magari mwaka wa 2018, imetangaza serikali ya Uganda. Profesa Sandy Stevens, ambaye ni afisa mkuu wa mradi unaopanga kuanzisha uundaji wa magari hayo, anasema ifikap...
Ndugu zangu wa jf habari za muda huu?
Najua sasa ni mfungo na pengine tumekua tunachoka sana maana lazima tushughulike ili tupate chakula chetu cha kila siku wakati dini nayo inatudai kutimiza...
hivi cash economy tz itaisha lini jamani? mtu anaenda dukani na milioni tano, milioni kumi anaenda kufanya shoping na mihela kwenye begi! kwanini tz tusiweke mipaka, mfano: kuanzia manunuzi ya...
Madini aina ya Uranium
KWA UFUPI
Maliasili nyingine za madini, gesi na mafuta iwapo hazitasaidia kutatua matatizo na kuboresha huduma za kijamii kama afya, elimu umeme na barabara ni sawa na...
Baada ya noti ya shilingi mia tano kuwa kwenye mzunguko mkubwa hivyo kuchakaa mapema,benki kuu ya Tanzania imeamua kuleta sarafu ya shilingi miatano mwaka huu wa fedha inayotamiwa kudumu kwa miaka...
Msaada mimi ni mgeni kabisa kwenye biashara ,frame ninayo ninataka nianze biashara lakini haya mambo sijui ya TRA na TIN number ,naweza kutafuta sasahivi au badae? na wanafuatilia hata vibiashara...
Msaada Wa kimawazo tafadhali, wajasiliamali tunaamini moja kati ya rasilimali za kumiliki ni HISA, Mimi sina uzoefu kabisa kabisa kuhusu HISA, ntapataje uzoefu?, Je kampuni gani zinalipa vizuri...
This unique program presents a system which is customizable to suit each individual's personality and strength. It reduces every selling situation to a four stage process, which eliminates all...
wakuu habari.... tuna tractor mpya kwa bei poa sana hasa massay fergurson za aina zote mfano mf 385 4wd hp 85.... kwa maelezo na maelekezo tulipo tutafute 0713774746
wadau naomba kama kuna mwenye detail atujuze, niliomba mkopo nimeenda kufuatilia nikaambiwa wamepewa taarifa kutoka makao makuu kuwa wasitishe kutoa mikopo.
BUBBLY NI BIDHAA BORA KABISA ZA USAFI, ZINAPATIKANA KWA UJAZO WA KUANZIA LITA MOJA,TANO NA LITA 20 JUMLA NA REJAREJA.DUKA LETU LIKO MIKOCHENI KARIBU NA TMJ HOSPITAL TUNATIZAMANA TANESCO,DAR FREE...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.