University of Dar es salaam
The public needs not to worry about the many plastic bags that continue to pollute the country especially urban areas, thanks to a Japanese method that has been...
Wakuu wife anataka afungue saluni ya kike ila mimi au yeye hakuna anayejua chochote kile hasa juu ya ni vifaa gani viahitajika.
Mtaji anao ni wa milioni moja tu vipi unatosha kwa hiyo kazi...
Nilifungua ofisi ya bima Mbeya (Mwanjelwa, Stendi kuu, Mbeya & baadae Tunduma) lakini hawa jamaa (wanyakyusa) hawapend kuona mtu wa mbali (ukitoa Sumbawanga, Songea & Iringa=Wachawi wenzao)...
Ujumbe huu wa kugomea kununua bidhaa zinazotokana na ISRAEL kupinga mashambulizi yanayoendelea sasa kule Gaza UMENIFANYA NIJUE KUMBE Uchumi wote wa Dunia UMESHIKWA NA ISRAEL!! shikamoo Israel...
Unit Trust Fund of Tanzania (UTT)
Katika maelezo niliyoyapata kidogo kwenye internet ni kwamba wananchi wanawezw kufaidika kupitia wao kwa kununua hisa, but how does it works? Ni hisa kiwango...
PLEASE BOT TAKE CARE CRDB BANK INATUCHANGANYA AU NDIO KUFA ?
1. Internet statement hazieleweki , ziko nusu nusu, not up to date 3 to 10 days behind very RISK
2...
Habari Wakuu!
Wiki tatu zilizopita niliimport mzigo toka UK. Mzigo ulilipiwa before kufika so nikajua immediately baada ya kufika utakuwa cleared. Bahati mbaya haikuwa hivyo porojo a kesho kesho...
Ndugu zetu maofisa wa GPSA (Government Procurement Services Agency) kunani? Mbona taratibu za kutoa majina ya wazabuni zimechukua muda mrefu mno kipindi hiki?
Ama kuna wajanja wanachelewesha kwa...
Wajameni nina 5M ninataka izunguke ilinipate japo pesa ya kulipia mtoto ada bila kubangaiza.
Msaada wenu wa mawazo nitauheshimu sana na kama nikifanikiwa na idea ya mtu baada ya miaka miwili au...
Bank of Tanzania (BoT)
Tanzania's economy is projected to sustain growth of above 7 per cent in 2014/15, backed by ongoing investments in infrastructure particularly roads, railways and power...
Habarini Jf, naomba mnijuze gharama za kutoa ghari hii bandarini Dar es salaam.
Make: Toyota
Model: Mark II Blit
Year/month: 2007/3
Cc : 2490
CIF : 1850 USD.
Kati ya mambo yanayonifanya ninyongee ndani ya Taifa langu, ni pamoja na thamani ya shilingi. Mimi sio mchumi lakini najisikia vibaya sana niendapo Dukani hasa ya wahindi ambako natakiwa nilipe...
Ivi unafanya biashara na umemtumia mtu kukusaidia na umemuahidi utamlipa bahati mbaya umepata hasara ujapata faida na umekata mtaji na uliemtuma anadai malipo inakuaje hapo?
Mwenye gari aina ya Noah nahitaji tuandikishane niwe namletea hesabu kwa wiki 130,000/= nipo Dar es salaam na biashara itakuwa hapo hapo, 0714064767 nipigie ili tuongee
Hii ni baada yakuona interest za watu wengi for the online business:
Tunasaidia watu kununua bidhaa online:
Iwe ebay,amazon na online store nyingi tuu..
Kwa kuanza tunasaidia wale wanaotaka...
Kuna taarifa kuwa TRA imeisitisha hii kampuni kuleta magari Tanzania!?
Kuna yoyote aliyetoa gari bandarin. Wiki hii from any company?? Any truth, What is the problem??
Duuu inasikitisha na kufadhaisha leo hii
KWA TREND HII YA BOT; UCHUMI WA TANZANIA ULALE MAHALI PEMA PEPONI.!
Siungi mkono hoja ya Benki kuu (BOT) kufuta noti ya Sh.500/= na kuifanya sarafu...
PLEASE LET TRUSTED- RESEARCH & CONSULTING MANAGE YOUR NEXT MARKET RESEARCH FIELD WORK PROJECT IN EASTERN & CENTRAL AFRICA: TRUSTED- Research & Consulting is a full service market research field...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.